Bakari Maligwa
Member
- Aug 18, 2010
- 65
- 22
Amkatae, amkubali, alie, acheke, ajinyonge - bado JK ni rais aliyeapishwa. Sasa kumkataa JK unadhani kunamsaidia nini kama si kujitia majonzi tu. Mwanaume wa kweli anatulia na kujipanga upya kwa kuandaa mikakati kwa ajili ya 2015. Tujikumbushe huko Zanzibar, Maalim Seif alikataa kuitambua serikali na rais wake, kwani mambo yalisimama ?? Rais si aliendelea hadi uchaguzi uliofuata.
Thiery Henry alifunga goli kwa mpira wa mkono, refa akalikubali goli japo vyombo vya elektroniki baadaye vilionyesha kuwa lilikuwa goli la mkono, je lilifutwa ?? Nasema, na narudia kusema kuwa mwanaume halisi hutulia na kujipanga upya si hili la kutoa tamko la kutoutambua ushindi. Haimsaidii kitu.

Kama tunaelewa demokrasia basi alichosema Slaa ni sahihi kwani ndicho anachokijua na kukiamini na wapo wengi pia wanakubaliana naye.Swala lakupanga mikakati alishalisema hata kabla ya uchaguzi na amelirudia mara nyingi sana,kwamba atajikita katika kuimarisha chama na kuuelewesha umma mipango yao dhidi ya nchi hii kama mkakati wa kuchukua nchi 2005
Amkatae, amkubali, alie, acheke, ajinyonge - bado JK ni rais aliyeapishwa. Sasa kumkataa JK unadhani kunamsaidia nini kama si kujitia majonzi tu. Mwanaume wa kweli anatulia na kujipanga upya kwa kuandaa mikakati kwa ajili ya 2015. Tujikumbushe huko Zanzibar, Maalim Seif alikataa kuitambua serikali na rais wake, kwani mambo yalisimama ?? Rais si aliendelea hadi uchaguzi uliofuata.
Thiery Henry alifunga goli kwa mpira wa mkono, refa akalikubali goli japo vyombo vya elektroniki baadaye vilionyesha kuwa lilikuwa goli la mkono, je lilifutwa ?? Nasema, na narudia kusema kuwa mwanaume halisi hutulia na kujipanga upya si hili la kutoa tamko la kutoutambua ushindi. Haimsaidii kitu.
Vipi na wabunge wanamkubali au Dr. Slaa peke yake? Bora na wabunge wangesusia bunge kukazia msimamo wa chama kuliko nusu kukubali na nusu kutokubali.

wazo jepesi.
sina uhakika na ubongo wako, kwa sababu ukiandikacho sio sawa na unachokiaminiAmkatae, amkubali, alie, acheke, ajinyonge - bado JK ni rais aliyeapishwa. Sasa kumkataa JK unadhani kunamsaidia nini kama si kujitia majonzi tu. Mwanaume wa kweli anatulia na kujipanga upya kwa kuandaa mikakati kwa ajili ya 2015. Tujikumbushe huko Zanzibar, Maalim Seif alikataa kuitambua serikali na rais wake, kwani mambo yalisimama ?? Rais si aliendelea hadi uchaguzi uliofuata.
Thiery Henry alifunga goli kwa mpira wa mkono, refa akalikubali goli japo vyombo vya elektroniki baadaye vilionyesha kuwa lilikuwa goli la mkono, je lilifutwa ?? Nasema, na narudia kusema kuwa mwanaume halisi hutulia na kujipanga upya si hili la kutoa tamko la kutoutambua ushindi. Haimsaidii kitu.
Amkatae, amkubali, alie, acheke, ajinyonge - bado JK ni rais aliyeapishwa. Sasa kumkataa JK unadhani kunamsaidia nini kama si kujitia majonzi tu. Mwanaume wa kweli anatulia na kujipanga upya kwa kuandaa mikakati kwa ajili ya 2015. Tujikumbushe huko Zanzibar, Maalim Seif alikataa kuitambua serikali na rais wake, kwani mambo yalisimama ?? Rais si aliendelea hadi uchaguzi uliofuata.
Thiery Henry alifunga goli kwa mpira wa mkono, refa akalikubali goli japo vyombo vya elektroniki baadaye vilionyesha kuwa lilikuwa goli la mkono, je lilifutwa ?? Nasema, na narudia kusema kuwa mwanaume halisi hutulia na kujipanga upya si hili la kutoa tamko la kutoutambua ushindi. Haimsaidii kitu.
Amkatae, amkubali, alie, acheke, ajinyonge - bado JK ni rais aliyeapishwa. Sasa kumkataa JK unadhani kunamsaidia nini kama si kujitia majonzi tu. Mwanaume wa kweli anatulia na kujipanga upya kwa kuandaa mikakati kwa ajili ya 2015. Tujikumbushe huko Zanzibar, Maalim Seif alikataa kuitambua serikali na rais wake, kwani mambo yalisimama ?? Rais si aliendelea hadi uchaguzi uliofuata.
Thiery Henry alifunga goli kwa mpira wa mkono, refa akalikubali goli japo vyombo vya elektroniki baadaye vilionyesha kuwa lilikuwa goli la mkono, je lilifutwa ?? Nasema, na narudia kusema kuwa mwanaume halisi hutulia na kujipanga upya si hili la kutoa tamko la kutoutambua ushindi. Haimsaidii kitu.
Amkatae, amkubali, alie, acheke, ajinyonge - bado JK ni rais aliyeapishwa. Sasa kumkataa JK unadhani kunamsaidia nini kama si kujitia majonzi tu. Mwanaume wa kweli anatulia na kujipanga upya kwa kuandaa mikakati kwa ajili ya 2015. Tujikumbushe huko Zanzibar, Maalim Seif alikataa kuitambua serikali na rais wake, kwani mambo yalisimama ?? Rais si aliendelea hadi uchaguzi uliofuata.
Thiery Henry alifunga goli kwa mpira wa mkono, refa akalikubali goli japo vyombo vya elektroniki baadaye vilionyesha kuwa lilikuwa goli la mkono, je lilifutwa ?? Nasema, na narudia kusema kuwa mwanaume halisi hutulia na kujipanga upya si hili la kutoa tamko la kutoutambua ushindi. Haimsaidii kitu.
...Kwa kuwa ni kawaida ya binadamu kusahau; japokuwa si watu wote wanaosahau historia. Kumbukizi zinaonesha kwamba, Muafaka wa Zanzibar uliyopelekea kupatikana kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (Zanzibar) kulitokana na sintofahamu na songombingo za kisiasa baina ya CUF (Maalim Seif Sharif Hamad) na CCM (ya Komandoo Salmin Amour Jumaa) tangu mwaka 1995. Mwaka 2000, Pemba tulishuhudia mauwaji ya watu takriba 33 na wengine kukimbilia Shimoni-Mombasa, Kenya. Pamoja na hayo, tulishuhudia wawakilishi wa CUF wakisusia vikao vya Baraza la Wawakilishi kwa mara kadhaa kutokana na kadhia hiyo.
...Leo, kwa nini watu washangae Dk. Slaa kutomtambua Jakaya Kikwete? Kama ushindi aliyoupata JK haukuwa na "dosari" kubwa na ndogo kusingekuwa na haja ya Dk. Slaa kumkataa JK. Mbona hamshangai asilimia 73% ya wapigakura waliyojiandikisha kupiga kura kumkataa JK kwa (1) kutokumchagua na (2) kwa kutokupiga kura. Hata kura alizopata mwaka 2005, kama milioni 9.1, zimepungua hadi kufikia milioni 5.3 (hivi); na hili hamlioni? Au kama wasemavyo Waswahili, "NYANI HAONI NONGOLE?"
...Ipo haja ya kuona jinsi gani mtu mmoja na au chama (kikundi) cha watu wanaweza kumkataa mtu - hususan kwenye demokrasi ya watu - mtu kama hamkubali mtu, huo ni uhuru wake...na haijalishi anayekataliwa ni nani na au ana wadhifa gani! Kwa Dk. Slaa kumkataa JK ni haki; na ni haki yake - na ndiyo demokrasi. Bravo Doctor Slaa, revolution starts with cognitive ideas! ALUTA CONTINUA....

.....watafanya na Slaa eventually.Amkatae, amkubali, alie, acheke, ajinyonge - bado JK ni Rais wa JMT na Wabunge wa Chadema watafanya kazi chini ya JK kupitia serekali yao kivuli au watafanya na Slaa? Kuweni open minded wajameni msibishane na vitu ambavyo havihitaji degree kuving'amua.