Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,741 Jan 18, 2012 #1
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,117 Reaction score 136,857 Jan 18, 2012 #2 He/she is ralaxing...probably pondering over something....maybe some future plans or something like that.
He/she is ralaxing...probably pondering over something....maybe some future plans or something like that.
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Jan 18, 2012 #3 nimeipenda... beautiful specimen, naionea huruma haipo katika mazingira yake ya asili
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jan 18, 2012 #4 Kaweka pozi kwaajili ya picha.
T THE WHITE ELEPHANT Member Joined Jan 15, 2012 Posts 93 Reaction score 13 Jan 18, 2012 #5 MziziMkavu said: Click to expand... Nyani - ngabu.....sayz maisha sio magumu kila wakati..
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,298 Jan 18, 2012 #6 Anajiuliza namna ya kujiunga na JF ili kuongeza nguvu zaidi kwa wenzake wachache waliopo na wanaozidi kusimangwa!! :biggrin:
Anajiuliza namna ya kujiunga na JF ili kuongeza nguvu zaidi kwa wenzake wachache waliopo na wanaozidi kusimangwa!! :biggrin:
Mwali JF-Expert Member Joined Nov 9, 2011 Posts 7,012 Reaction score 5,613 Jan 18, 2012 #7 Steve Dii said: Anajiuliza namna ya kujiunga na JF ili kuongeza nguvu zaidi kwa wenzake wachache waliopo na wanaozidi kusimangwa!! :biggrin: Click to expand... Raise of the planet of the apes (2011)
Steve Dii said: Anajiuliza namna ya kujiunga na JF ili kuongeza nguvu zaidi kwa wenzake wachache waliopo na wanaozidi kusimangwa!! :biggrin: Click to expand... Raise of the planet of the apes (2011)
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jan 18, 2012 #8 Steve Dii said: Anajiuliza namna ya kujiunga na JF ili kuongeza nguvu zaidi kwa wenzake wachache waliopo na wanaozidi kusimangwa!! :biggrin: Click to expand... Mbona kama akili yake yote kwenye kamera? Huoni alipoelekeza macho na alipoweka mikono?
Steve Dii said: Anajiuliza namna ya kujiunga na JF ili kuongeza nguvu zaidi kwa wenzake wachache waliopo na wanaozidi kusimangwa!! :biggrin: Click to expand... Mbona kama akili yake yote kwenye kamera? Huoni alipoelekeza macho na alipoweka mikono?
Steve Dii JF-Expert Member Joined Jun 25, 2007 Posts 6,402 Reaction score 1,298 Jan 18, 2012 #9 Lizzy said: Mbona kama akili yake yote kwenye kamera? Huoni alipoelekeza macho na alipoweka mikono? Click to expand... Like most nyanies, he/she too is a poser. Lakini kwa huyo juu, naamini hapo anafikiria namna ya kujiunga JF!!!
Lizzy said: Mbona kama akili yake yote kwenye kamera? Huoni alipoelekeza macho na alipoweka mikono? Click to expand... Like most nyanies, he/she too is a poser. Lakini kwa huyo juu, naamini hapo anafikiria namna ya kujiunga JF!!!
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,472 Jan 18, 2012 #10 Steve Dii said: Like most nyanies, he/she too is a poser. Lakini kwa huyo juu, naamini hapo anafikiria namna ya kujiunga JF!!! Click to expand... Basi tumfanyie mpango wa kalaptop au tablet aje kutupa maujuzi.
Steve Dii said: Like most nyanies, he/she too is a poser. Lakini kwa huyo juu, naamini hapo anafikiria namna ya kujiunga JF!!! Click to expand... Basi tumfanyie mpango wa kalaptop au tablet aje kutupa maujuzi.
zumbemkuu JF-Expert Member Joined Sep 11, 2010 Posts 11,322 Reaction score 9,771 Jan 18, 2012 #11 MziziMkavu said: Click to expand... sarfhtghjy
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,512 Jan 18, 2012 #12 Huyu sio naniiii NN
Lily Flower JF-Expert Member Joined Oct 16, 2009 Posts 2,553 Reaction score 1,199 Jan 18, 2012 #13 zumbemkuu said: sarfhtghjy Click to expand... Ulitaka kumaanisha nini kwenye hizo picha mbili?
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 Jan 18, 2012 #14 Ana pose kali!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Jan 18, 2012 #16 Steve Dii said: Anajiuliza namna ya kujiunga na JF ili kuongeza nguvu zaidi kwa wenzake wachache waliopo na wanaozidi kusimangwa!! :biggrin: Click to expand... Nalo neno.
Steve Dii said: Anajiuliza namna ya kujiunga na JF ili kuongeza nguvu zaidi kwa wenzake wachache waliopo na wanaozidi kusimangwa!! :biggrin: Click to expand... Nalo neno.
D denim kagaika JF-Expert Member Joined Aug 11, 2011 Posts 228 Reaction score 32 Jan 18, 2012 #17 zumbemkuu said: sarfhtghjy Click to expand... That's a look alike contest.
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,042 Reaction score 7,474 Jan 18, 2012 #18 Mbona kafulila katokea Kigoma kusini kwenye hawa washikaji wengi sana, kwenye milima yaMahale , lakini hafanani na jamaa kabisa!!
Mbona kafulila katokea Kigoma kusini kwenye hawa washikaji wengi sana, kwenye milima yaMahale , lakini hafanani na jamaa kabisa!!
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 Jan 18, 2012 #19 Huyo nyani/sokwe kama ndugu yangu..
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Jan 18, 2012 #20 BelindaJacob said: Huyo nyani/sokwe kama ndugu yangu.. Click to expand... mweeeh!!!