we kwan umelazimishwa kupita njia hiyo au unajishaua tu watu wengine bwanaHili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?
Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
Ingekuwa vyema ungeanza kuwashauri hawa jamaa wanaotupigia kelele usiku kucha katikati ya makazi ya watu na hizi ngo zao za kupiga hela wakiita ni makanisaINAKERA! Kwanza nyumba za ibada kwenye makazi na biashara za watu ni tatizo
Kariakoo ni kubwa sana, be specific ni mtaa upi??Hili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?
Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
Nenda wewe ukajenge Barabarani kama utaachiwa, una gubu kama Mama mwenye NyumbaDini zisiwe chanzo cha kuwaudhi wengine. Huwezi jenga msikiti barabarani alafu useme eti kwasababu mungu yupo. Huo ni ufinyu wa akili. Na pia lazima mjue hii nchi ina mchanganyiko wa watu wa imani tofauti. Kufanya hivyo sio sawa. Mjipange
Wanatafuta sababu tu.Hili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?
Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
Na bar na grocery jee zilizo katika makazi ya kuishi na sii biashara?na kwaya zinazopigwa bar jee hazikeri?na wadada wanaovaa sketi fupi zehemu za public hawakeri?na wale wanaohubiri vituo vya daladala kama posta mpya hawakeri?na wale wanaosali mara 1 tuu katika wiki nzima hawakeri?Hili nalo ni jipu sasa. unapita zako Kariakoo unakuta barabara zimefungwa a mahema yamewekwa, kisa kuna watu wanaswali. Hivi ni sawa? Kwani wakati mnajenga jengo lenu la ibada hamkujua kuwa hapo ni padogo? Kwa nini kuingilia barabara za umma na kusimamisha shughuli za watu wengine?
Mheshimiwa Rais hebu na huko utupie jicho. Kama jumba la ibada limejaa, majumba yako mengi, mengine hadi sheli za mafuta. Waende huko! Ni hayo tu kwa sasa
taja sehemu ambapo hapa DSM au hata mkoani kumejengwa msikiti barabarani ni wapiDini zisiwe chanzo cha kuwaudhi wengine. Huwezi jenga msikiti barabarani alafu useme eti kwasababu mungu yupo. Huo ni ufinyu wa akili. Na pia lazima mjue hii nchi ina mchanganyiko wa watu wa imani tofauti. Kufanya hivyo sio sawa. Mjipange