Mnapomaliza kufanya mapenzi nani apewe pole?


Nashukuru umeitafsiri... teh....teh....
 
kwani siku zote kazi huw nzuri mkuu? hakuna siku mnazingua?
sikujakutana na kesi ya kuwa mbaya endapo ikitokea ndo ntajua namwambia nini, kwa sasa acha tupongezane tu!
 
Pande zote mbili(me/ke) mmepeana raha sasa pole ya nini
 
pole ya nini, hapo ni asante sn mume/mke wng, pole kwani kuna msiba au mmetoana vigegedeo vyenu?
 
Mr sex... Pole inategemea Kama demn hayupo ktk mood ukalazmisha kumgegeda wkt wote hajishugulish ukmaliza haha zako Kama muungwana utatoa pole... Halafu wkt mwingne mwme unaonekana umejtuma had kjasho chapachapa cku wazungu wamechelewa kufka wkt mwenzio mapeeema kasha fanya yake Hapo kweli kdume unahtaj pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…