Mnapenda nini jamani maharage maji mara moja au hard to get?

Mi ukinizungusha, siku ukinipa ndo imetoka kwan ulikua huheshimu hisia zangu. Pia nizungushe lakin usinielezee kwamba huna hela ya vocha.
 
Swali hili ni mahususi kwa wanaume lakini hata wanawake pia ruksa kutupa uzoefu wenu na yale mliyoyapitia katika mahusiano kwa ujumla.

Wanaume wa MMU naombeni leo mfunguke

Mnapokuwa kwenye michakato yenu ya kutaka kumpata mdada unayempenda au ungependa ndo awe wife au mahabuba wako mnapenda ukubaliwe katika namna ipi?Mnapendaje?mnapenda mumpate mdada mara moja tu na ummiliki au umsumbukie kidogo akuletee vipozi au mnataka ile ya seven days ya Craig David yaani ndani ya siku saba tokea uanze mchakato wa kumtia mikononi mwako unakuwa ushamaliza kila kitu?

Na ninyi akina dada tunaombeni uzoefu wenu kaitika hili waume zenu au wapenzi wenu waliwapataje na waliwaambia nini baada ya kuwapata waliwasumbukia au hawakutegema kuwa wangewapata je walifurahishwa na hilo au walitamani msiwe wagumu?

Karibuni tujadili kwa pamoja

For me mtu anayesita in the first place namchukulia km ni mtu ambaye hatuna mutual feelings,nnachoamini me ni kuwa,'a r'ship has a lot to do with a compromise' kwa hiyo kwa mtu anayenizungusha namchukulia km hajaniridhia so sina sababu za kumconvice zaid otherwise awe na critical reasons zinazomfanya asite in the first place lkn she must show concern however and that she is open to accept convicing facts if any,lkn kukataa tu kwa kudhani ntamchukulia ni easy going bila facts kwangu ni uzembe wa kijinsia tu nothing more!
 
Ladies ukitongozwa kama mnafahamina mda mrefu hakuna haja ya kusumbua kama umependa say yes km hutaki ni no,, but km humfaham mtongozaji na unahisi kukubali chukua time kidogo mchunguze jilizishe ujue km anakupenda kweli, mme wa mtu, mchumba wa mtu, jambazi, tapeli ukitumia muda kidogo tu uta tambua anakufaa au hakufai,, mwanaume anaweza kutongoza akujaribu tu au iwe chapa ilale,, ni vizizur kuchukua tm ya kutafakar na kumjua mtu, mwanamke akinikubali haraka kiukweli napata mashaka
 
Swali hili ni mahususi kwa wanaume lakini hata wanawake pia ruksa kutupa uzoefu wenu na yale mliyoyapitia katika mahusiano kwa ujumla.

Wanaume wa MMU naombeni leo mfunguke

Mnapokuwa kwenye michakato yenu ya kutaka kumpata mdada unayempenda au ungependa ndo awe wife au mahabuba wako mnapenda ukubaliwe katika namna ipi?Mnapendaje?mnapenda mumpate mdada mara moja tu na ummiliki au umsumbukie kidogo akuletee vipozi au mnataka ile ya seven days ya Craig David yaani ndani ya siku saba tokea uanze mchakato wa kumtia mikononi mwako unakuwa ushamaliza kila kitu?

Na ninyi akina dada tunaombeni uzoefu wenu kaitika hili waume zenu au wapenzi wenu waliwapataje na waliwaambia nini baada ya kuwapata waliwasumbukia au hawakutegema kuwa wangewapata je walifurahishwa na hilo au walitamani msiwe wagumu?

Karibuni tujadili kwa pamoja

Mi nikimpenda mtu nmempenda anijib siku moja au mbili ndo inakua frsh,lkn akinizungusha et wikiii,duh naachana nae au namchukulia kama rafiki na akinambia anataka tuwe pamoja nakataa maake ham yang ishaisha kwqke,lkn kama akinikubalia siku za mwanzon mbna nitadum nae sanaaa,
 
hahahahahaha kwa hiyo wewe Kasinde ukiwa approached leo kesho kutwa tu kila kitu tayari sio?
Mie njegere uchemshe saa 5 asubuhi saa sita mchana yako mezani yameshaungwa na nazi tayari kuliwa na wali wa nazi.
 
Last edited by a moderator:
Sipendi mahusiano ya kutongozana first date, kulalana siku hiyo hiyo. Hata kuku wanapeana mda kujua ni jogoo yupi ana authority. It's great when you give each other time to have fun as friends, sio mnaanza kufahamiana na kujuana hapo hapo...
Ukinipa nitakula na kunawa, hutaniona tena!!!
 
Asilimia kubwa, wanaume tunataka kukidhi tu haja zetu za kugegeda! Kwa hiyo yategemea tunataka nini, kama ni kutafuta wifey, alafu akajilengesha mapema, huyo kwetu ni kicheche na wanaume hatupendi vicheche kuwageuza wifey, kama ni suala la kukidhi tu haja au kuwa mchepuko, siku moja ya kukutana inatoaha sana!
Na huo ni mtazamo wangu!
 
Sipendi mahusiano ya kutongozana first date, kulalana siku hiyo hiyo. Hata kuku wanapeana mda kujua ni jogoo yupi ana authority. It's great when you give each other time to have fun as friends, sio mnaanza kufahamiana na kujuana hapo hapo...
Ukinipa nitakula na kunawa, hutaniona tena!!!

Aaah kuna vitu ni havielezeki mshenga na ila one day mie mwenyewe napinga...
Though niambie ndio umempenda Dada wa watu na siku hio kakukubali,akikupa si wewe utakua ulimuomba?usimuombe basi mapema..
 
Wanaume wengine ni wajanja tu. Wanapenda kutest kina cha maji, japo wengine wala hawana nia ya kukuvua pichu. Lakini akiona upo kihasara anakukula then marafiki zake watajua yote!!
Guys, you've got to know each other first, angalau kwa mda fulani...go for walks, have a glass of juice/wine together!
Onyo: msizini..teh!!
 
hahahahahaha kwa hiyo wewe Kasinde ukiwa approached leo kesho kutwa tu kila kitu tayari sio?
Kesho kutwa..... we huelewiiiii mie njegere yaani hata harage la mbeya lina afadhali. Make tano leo leo na shuhuli leo leo msema kesho au wiki ijayo una mkataba na Mungu? Nisipofika je?
Mi naishi leo kesho nawashwa wa kesho, nikipata bamia au tango leo nalila lote leo leo kesho ntajua kesho kama ntapata tena tango au muhogo au ndizi bukoba.
 
Last edited by a moderator:
Swali hili ni mahususi kwa wanaume lakini hata wanawake pia ruksa kutupa uzoefu wenu na yale mliyoyapitia katika mahusiano kwa ujumla.

Wanaume wa MMU naombeni leo mfunguke

Mnapokuwa kwenye michakato yenu ya kutaka kumpata mdada unayempenda au ungependa ndo awe wife au mahabuba wako mnapenda ukubaliwe katika namna ipi?Mnapendaje?mnapenda mumpate mdada mara moja tu na ummiliki au umsumbukie kidogo akuletee vipozi au mnataka ile ya seven days ya Craig David yaani ndani ya siku saba tokea uanze mchakato wa kumtia mikononi mwako unakuwa ushamaliza kila kitu?

Na ninyi akina dada tunaombeni uzoefu wenu kaitika hili waume zenu au wapenzi wenu waliwapataje na waliwaambia nini baada ya kuwapata waliwasumbukia au hawakutegema kuwa wangewapata je walifurahishwa na hilo au walitamani msiwe wagumu?

Karibuni tujadili kwa pamoja

Autrefois il ?tait acceptable pour lui, sans sa petite amie moins d'un jour me fit faire le tour par tous les moyens, je voudrais izi ceux qui acceptent plus rapide
 
Wanaume wengine ni wajanja tu. Wanapenda kutest kina cha maji, japo wengine wala hawana nia ya kukuvua pichu. Lakini akiona upo kihasara anakukula then marafiki zake watajua yote!!
Guys, you've got to know each other first, angalau kwa mda fulani...go for walks, have a glass of juice/wine together!
Onyo: msizini..teh!!

Penzi changa tamu sana,hicho kipind cha evening walks,outing together hapo bado hamjuani yaaaani wooooi...raha sana lakini amazingly niliumia vibaya mno....hiii nyingine siku zuga it was yes na haikuchukua mda tukajuana na nikajua ndio mwisho but it lasted more
So haya mambo hayatabiliki mshenga......
 
Umenikumbusha kitu mshenga..ngoja nikae kimya! But evening walks, outings na pure friendship makes the relationship sweeter!
 
Those time back nlikua sipg sound naenda straight kwenye mchezo akitik poa akikataa Na move on..... Spendag usumbufu unless niamue uwe rafik tu
 
Wanaume wengine ni wajanja tu. Wanapenda kutest kina cha maji, japo wengine wala hawana nia ya kukuvua pichu. Lakini akiona upo kihasara anakukula then marafiki zake watajua yote!!
Guys, you've got to know each other first, angalau kwa mda fulani...go for walks, have a glass of juice/wine together!
Onyo: msizini..teh!!

Acha kuwafanya wanawake watunyime.
 
Raha ya Mwanamke ni kusumbuana ,na raha ya mwanamke ni kuringa bana ,ila yote hayo yafanyike kwa kiasi sio unaringa kama paka
 
Back
Top Bottom