Mnapenda nini jamani maharage maji mara moja au hard to get?

Mnapenda nini jamani maharage maji mara moja au hard to get?

Mtu mwenye kujithamini utu wake hawezi kujirahisi kiasi hicho labda ambae tayari anao kwa hiyo anataka kuambukiza wengine!

Wala mtu usihesabu kuwa ni bahati !

Ni hatari tupu!

Imeandikwa “ pasipo maono watu huacha kujizuia!

Kumtii Mungu ni kwa faida ya mtu mwenyewe na kuto mtii ni kwa hasara ya mtu mwenyewe [emoji108][emoji108]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi stress staki Dem nikimsaundisha mara mbili naona haelewi somo naachana nae natafuta maharage ya Mbeya nusu kijiko napunguza mafuta mwilini....
 
Hard to get ndo mpango mzima ukisha mla unatemana fasta....akafie mbele

am better here
 
Unajua sio wote wanaokubali Mara moja hawajithamini

Kuna wengine wamependa kiasi kwamva anahisi kuwa akimchelewesha anayemtafuta basi atapitiwa na mwingine so anaona isiwe taabu

Ina maana mkuu tuseme wewe ukipaga mdada wa kukukubalia mapema anakuogopesha unamwacha au?
Mtu mwenye kujithamini utu wake hawezi kujirahisi kiasi hicho labda ambae tayari anao kwa hiyo anataka kuambukiza wengine!

Wala mtu usihesabu kuwa ni bahati !

Ni hatari tupu!

Imeandikwa “ pasipo maono watu huacha kujizuia!

Kumtii Mungu ni kwa faida ya mtu mwenyewe na kuto mtii ni kwa hasara ya mtu mwenyewe [emoji108][emoji108]


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I really like hard to get women it is funny watching how your relationship start to emerge and grow and all moments that you two are passing through, although it is funny and at the sametime it is how we expect women to behave there is fine line between playing hard to get and being an asshole or appearing as if you are not interested which is opposite of how you are suppose to behave when you like someone, in my experience I have met few women who know how to play hard to get , others where very mean so I end up negreting them , you know the point of playing hard to get is to push and pull nothing much, nothing less by nature iam very ego driven guy , so I never bother myself sometime, so she better be the right one and also knows how to play it .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua sio wote wanaokubali Mara moja hawajithamini

Kuna wengine wamependa kiasi kwamva anahisi kuwa akimchelewesha anayemtafuta basi atapitiwa na mwingine so anaona isiwe taabu

Ina maana mkuu tuseme wewe ukipaga mdada wa kukukubalia mapema anakuogopesha unamwacha au?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kiukweli kabisa namuacha!

Kwanza mwanaume au mwanamke anaentaka mtu kwa papara mara nyingi anakuwa hajatulia kwenye nyendo zake!

Tamaa mbaya ndugu asikwambie mtu na ikikomaa bila shaka unajua kifuatacho ITV!

Upendo ni kitu kingine ambacho ni adimu miongoni mwa mahusiano mengi!

Kipimo /sifa za upendo ni pamoja na ;
Upendo;
Huku mikoa
Haujivungi
Haukosi kuwa na adabu
Hauhesabu mabaya
Huamini yote
Hautakabali
N.k

Mahusiano mengi yamejengwa kwenye msingi wa tamaa badala ya upendo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeandikwa;
Pasipo maono watu huacha kujizuia!

Pasipo maono watu huangamia
Without vision people perish

Maisha haya Mungu ametupa lakini kuna sehemu yetu ya kufanya ktk kufikia hatima zetu kubwa na njema alizotuwekea




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kabisa namuacha!

Kwanza mwanaume au mwanamke anaentaka mtu kwa papara mara nyingi anakuwa hajatulia kwenye nyendo zake!

Tamaa mbaya ndugu asikwambie mtu na ikikomaa bila shaka unajua kifuatacho ITV!

Upendo ni kitu kingine ambacho ni adimu miongoni mwa mahusiano mengi!

Kipimo /sifa za upendo ni pamoja na ;
Upendo;
Huku mikoa
Haujivungi
Haukosi kuwa na adabu
Hauhesabu mabaya
Huamini yote
Hautakabali
N.k

Mahusiano mengi yamejengwa kwenye msingi wa tamaa badala ya upendo


Sent using Jamii Forums mobile app

I mean upendo huvumilia (subra)


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom