Mnapenda nini jamani maharage maji mara moja au hard to get?

Mnapenda nini jamani maharage maji mara moja au hard to get?

Umenikumbusha kitu mshenga..ngoja nikae kimya! But evening walks, outings na pure friendship makes the relationship sweeter!

Hahahaa hebu nikumbushe na mie,tukumbuke wote...
 
Mama wa research Blue G again, ila leo ntakujibu lakini, ngoja kwanza nisome what other people say
 
a man will want what is convinient for him at that time.

If he just wants to hit and run or wifey.

Kazi ni kwako mwanamke na jinsi unavyojithamini.

dada leo unatuwakilisha......
 
Mie nina sheria moja tuu...no man has benefited from prolonged warfare.
 
Nisubiri nn?Wanawake wengi sana siku hizi,hadi imekuwa kero!
 
Kama unataka mume/mke ni vizuri kuanza kama marafiki kwanza ili mjuane vizuri na hii itawafanya mzame mapenzini automatically.... Kama ni hit and run au mchepuko sioni haja ya kuzungushana sana, mfano anakutongoza mke/mume wa mtu afu unamzungusha ili iweje?? Siku chache za kukutana zinatosha kutoa jibu la ndio au hapana.
 
Kama unamfeel u just go for it an if not unamwambia tu wala haina haja ya kuzungushana..
 
If you feel, let me in. Hii mambo ya kuzungushana ni utoto. It's all about chemistry. Na ukiona mwanaume judging you for clicking with him ujue ni mshamba. Tena kwangu mimi usipoleta pose za kijinga unapata point sana. Mkumbuke kuwa we men have a lot of options these days na wadada wamekuwa warahisi. So if you play hard to get, nakuweka kiporo huku naendelea na wenzio. A man is as faithful as his options.
 
Swali hili ni mahususi kwa wanaume lakini hata wanawake pia ruksa kutupa uzoefu wenu na yale mliyoyapitia katika mahusiano kwa ujumla.

Wanaume wa MMU naombeni leo mfunguke

Mnapokuwa kwenye michakato yenu ya kutaka kumpata mdada unayempenda au ungependa ndo awe wife au mahabuba wako mnapenda ukubaliwe katika namna ipi?Mnapendaje?mnapenda mumpate mdada mara moja tu na ummiliki au umsumbukie kidogo akuletee vipozi au mnataka ile ya seven days ya Craig David yaani ndani ya siku saba tokea uanze mchakato wa kumtia mikononi mwako unakuwa ushamaliza kila kitu?

Na ninyi akina dada tunaombeni uzoefu wenu kaitika hili waume zenu au wapenzi wenu waliwapataje na waliwaambia nini baada ya kuwapata waliwasumbukia au hawakutegema kuwa wangewapata je walifurahishwa na hilo au walitamani msiwe wagumu?

Karibuni tujadili kwa pamoja

Mi napenda jibu la hapo hapo,kuzungushana sipendi!
 
Nisubiri nn?Wanawake wengi sana siku hizi,hadi imekuwa kero!

Kuna mmoja niliwahi kumtokea akakataa,namimi nikampotezea!siku moja nimekaa nimetulia naona naletewa kimemo akilalamika kuwa simpendi
 
For me mtu anayesita in the first place namchukulia km ni mtu ambaye hatuna mutual feelings,nnachoamini me ni kuwa,'a r'ship has a lot to do with a compromise' kwa hiyo kwa mtu anayenizungusha namchukulia km hajaniridhia so sina sababu za kumconvice zaid otherwise awe na critical reasons zinazomfanya asite in the first place lkn she must show concern however and that she is open to accept convicing facts if any,lkn kukataa tu kwa kudhani ntamchukulia ni easy going bila facts kwangu ni uzembe wa kijinsia tu nothing more!

But trrust me gspain kuna wadada ambao anakupenda lakini hataki umuone easy go kwa hiyo anakutega fulani hiv aone kama uko for real na ili umuheshinu
 
Last edited by a moderator:
Mi nikimpenda mtu nmempenda anijib siku moja au mbili ndo inakua frsh,lkn akinizungusha et wikiii,duh naachana nae au namchukulia kama rafiki na akinambia anataka tuwe pamoja nakataa maake ham yang ishaisha kwqke,lkn kama akinikubalia siku za mwanzon mbna nitadum nae sanaaa,

Jamani siku mbili tu unataka iwe yes si utamuona kicheche sasa?
 
Sipendi mahusiano ya kutongozana first date, kulalana siku hiyo hiyo. Hata kuku wanapeana mda kujua ni jogoo yupi ana authority. It's great when you give each other time to have fun as friends, sio mnaanza kufahamiana na kujuana hapo hapo...
Ukinipa nitakula na kunawa, hutaniona tena!!!

Word Eli79 ndo maana siku hizi hata honeymoon ipo tu kiformality bt haibebi maana halisi maanake watu mnaonana j3 kufikia j2 mnajuana hadi makovu yasiyotakiwa kujulikana
 
Last edited by a moderator:
Aaah kuna vitu ni havielezeki mshenga na ila one day mie mwenyewe napinga...
Though niambie ndio umempenda Dada wa watu na siku hio kakukubali,akikupa si wewe utakua ulimuomba?usimuombe basi mapema..
brenda18 hata ukiombwa mapema hivyo kwani unabakwa kwani lazima ukubali?
 
Last edited by a moderator:
Hiv bado watu wanatongozana? Yani unapiga sound kabisa duh"

Wapo BansenBurner kwa kweli kama mimi usiponimwagia sound utaambulia patupu tena ukija na swaga zako kuwa siku hizi hakuna kutongozana unakuja kuja tu nakutoa nduki usiamini
 
Last edited by a moderator:
Autrefois il ?tait acceptable pour lui, sans sa petite amie moins d'un jour me fit faire le tour par tous les moyens, je voudrais izi ceux qui acceptent plus rapide
kedrick hicho kiinglishi chako hicho em kitafsiri basi npate point yako khaaa
 
Last edited by a moderator:
Those time back nlikua sipg sound naenda straight kwenye mchezo akitik poa akikataa Na move on..... Spendag usumbufu unless niamue uwe rafik tu

Then you are all after sex and not true love boniface salim ukipenda utapoteza hata miaka kadhaa for someone
 
Last edited by a moderator:
Raha ya Mwanamke ni kusumbuana ,na raha ya mwanamke ni kuringa bana ,ila yote hayo yafanyike kwa kiasi sio unaringa kama paka

Give me five Uncleben thats it jamani yaani tunaenda kupotea kabisa mtoto wa kike onesha basi na we una msimamo upigiwe vimesele angalau khaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom