Mnapambanaje na hii changamoto katika mapenzi?

Mnapambanaje na hii changamoto katika mapenzi?

Tunguja

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
501
Reaction score
406
Umeoa au kuolewa,una mchumba au hata hawara,mmeshibana haswaaa,Lakini hapo mtaani kwako kuna watu wawili ambao walikuwa na mahusiano na mtu wako kabla yako,Je unajisikiaje unapowaona watu hawa?binafsi najisikia vibaya sana nakosa raha,nakosa amani kwasababu ya wivu,huwa naumia mno,zinaweza zikapita hata siku tatu au zaidi utendaji wa shughuli ya faragha unakuwa duni sana,yaani nafika mbali natamani niachane naye,naweza kuanzisha ugomvi mkubwa sana ili tu nipate sababu ya kumtimua,Lakini baadae baada ya yeye kujitetea sana,nasikia sauti yangu ya ndani kabisa ikiniambia, ukimuacha huyu utakuwa umemuonea sana,yeye hana tatizo lolote,tatizo unalo wewe kwenye moyo wako uliojaa wivu na kupenda kupindukia, kwasababu hao watu alikuwa nao kabla hajawa na wewe,ukija kumfumania basi ruksa kumwacha ,Sasa msaada wenu Wenzangu ambao mkionana na watu kama hao mnajisikia amani tu Wala mishipa ya fahamu haiwashtuki nyumba full kicheko,mmefanyaje ili hali inayonitokea mimi isiwatokee?
 
Utakuwa na matatizo ya akili wewe, sasa moyo haukuumi kukuta hana bikra?

Anyway oa bikra mkuu!
 
Kupenda gani huko? Mpaka unaanza chunguza kaliwa ñan before you ! Huo niupuuzi mzeee 😬😬
 
Women are like swimming pool. Usiulize nani aliogelea kabla yako, nani ataogelea baada yako, nani anaogelea nawewe. Just enjoy swimming my friend
 
Kupenda gani huko? Mpaka unaanza chunguza kaliwa ñan before you ! Huo niupuuzi mzeee
Sio kuchunguza mkuu unakuwa uliwajua kabla wewe hujawa na mpango naye,siku moja ukataka kuonja ukajikuta umehamia mazima,ndipo hiyo hali hiyo inajitokeza,upuuzi uko wapi hapo?
 
Mapenzi bhana mi uwaga simchunguzi aseee katoka na Nani non of my bzness what matter ni kua natumia muda wangu kwa manufaa
Sio kuchunguza,ulikuwa unajua kabla huna hata wazo la kuwa naye
 
Huna changamoto yoyote zaidi ya mood swing tu na hakuna dawa zaidi ya wewe mwenyewe kuamua kubadilika maisha ya wengine yanakuhusu nini kwamfano endelea kuchezea bahati hiyo mrembo waomba msamaha wachache mtaani
 
Binafsi huwa sinaga hizo mambo nikiachana na demu ata nikimkuta anagongwa wala sishtuki kabisa
 
Ikiwa hapo umepanga, hama kabisa, ikigoma kaza moyo....
 
Hainaga makombo. Maisha ndio haya haya usije ukajitia kitanzi bure.
 
Women are like swimming pool. Usiulize nani aliogelea kabla yako, nani ataogelea baada yako, nani anaogelea nawewe. Just enjoy swimming my friend
Mh!! Kama hiyo dp ni ww aisee respect kwako!!! Manake dah!!una umbo zuri na nido zilizosimama ..............
 
Back
Top Bottom