Queenever1
JF-Expert Member
- Jul 30, 2019
- 422
- 815
Pole kwa maumivu
Unaishi mtaa mmoja na ma-x wa mkeo? Pole sana mkuu,hawa hawafai hata kuishi nao karibu hata nchi moja yaani hapo wakionana lazima wapashe viporo.Umeoa au kuolewa,una mchumba au hata hawara,mmeshibana haswaaa,Lakini hapo mtaani kwako kuna watu wawili ambao walikuwa na mahusiano na mtu wako kabla yako,Je unajisikiaje unapowaona watu hawa?binafsi najisikia vibaya sana nakosa raha,nakosa amani kwasababu ya wivu,huwa naumia mno,zinaweza zikapita hata siku tatu au zaidi utendaji wa shughuli ya faragha unakuwa duni sana,yaani nafika mbali natamani niachane naye,naweza kuanzisha ugomvi mkubwa sana ili tu nipate sababu ya kumtimua,Lakini baadae baada ya yeye kujitetea sana,nasikia sauti yangu ya ndani kabisa ikiniambia, ukimuacha huyu utakuwa umemuonea sana,yeye hana tatizo lolote,tatizo unalo wewe kwenye moyo wako uliojaa wivu na kupenda kupindukia, kwasababu hao watu alikuwa nao kabla hajawa na wewe,ukija kumfumania basi ruksa kumwacha ,Sasa msaada wenu Wenzangu ambao mkionana na watu kama hao mnajisikia amani tu Wala mishipa ya fahamu haiwashtuki nyumba full kicheko,mmefanyaje ili hali inayonitokea mimi isiwatokee?
Duuu! Sawa roho inauma ila hukutenda haki mkuu, kwasababu yeye alimpitia huyo wako kabla hajawa wakoMbaya kujua nani alikuwa anamtafuna mpenzi wako,hasa kama mnafahamiana. Iliwahi kunitokea huko miaka ya nyuma. Nilifanya juu chini nimpitie nae demu wake,na nilimpitia kama mara 3 hivi. Ila ya 3 nikamwambia nimekupitia ksbb hii. Hapo roho yangu ikatulia