Mnaowekwa Profile Picture mnatumika

tena la nne ndio pumba academy, kwa sababu kama ameweka kwenye lets say whatsapp yake, ina maana wanaoona ni contacts wake, sasa inanizuiaje kupata wanawake wengine? While mimi sijamuweka?

Lets say ni Facebook na Instagram
 
Kwa upande wangu nina silaha mbili za kumfurahisha mpnz wangu moja ni kumuweka profile picture pili ni kumpa dudu la ukwel!!

Maana sina pesa ya kumhonga loh!!
 
hivi profile picture si unajiwekea mwenyewe na picha yako personal??? Sasa kuweka picha ya mpenzi wako inamaanisha nini?? kumuuzisha sura, ulimbukeni, au ushamba?? Unakuta boy ameweka picha ya demu wake kwenye PROFILE sasa akianza kupigwa vocal anavimba na kumind,, unamind nini sasa na wewe umeweka picha ya mtoto mkali... ndo maana wengi wetu mnaishia ''kuchapiwa'' na kubaki kusema masikini roho yangu mimi...... :typing:
 

Mkuu nimeipenda maana cku iz ndo ishakua fashion kuwekua dp mitandaoni... Kuna wengine mfano rafiki au ndugu kama mlikua mmepotezeana mda bac akikue dp utaona kukutumia msg ilione kama kakueka dp mm kiukweli wananikera kama nini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…