The Messenger
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 1,523
- 812
Mlio wengi hasa wanaume mnaowekwa profile picture za wanawake kwenye mitandao ya jamii, na maneno fulani hivi ya kusindikizia kwenye status, msidhani mnapendwa sana ila mnatumika kwa mambo yafuatayo:
1. Kupunguza usumbufu wa inbox kwa huyo mwanamke.
2. Kutuliza maumivu ya mwanamke kuachwa.
3. Kuwaonesha wanawake wengine naye ana bwana.
4. Kukufunga usipate mwanamke mwingine, ili akukamue bara bara.
Usivimbe kichwa kwamba ukiwekwa Profile Picture unapendwa sana, ni maslahi binafsi hayo amka.
Ni mawazo yangu tu washkaji msijenge chuki.
Profile picture ya mtandao upi?
Nashukuru kutambua upeo wako ulipo ishia...
Atayejenga CHUKI na ww atakua na upeo mdogo zaid maana ata mnyonge anamnyonge wake pia...
​Hahahaaa... hizi ndo kasoro zenye kasoroo
Lbd niwe sjaamua tuu kutk uniweke
Dah! Mimi haya mambo ya Whatsapp nilisha acha kutumia, tangu walivyoanza eti mara ukitumiwa ujumbe ukausoma mtumaji anajua so usipomjibu anaanza lawama kibaao, mara oooh nimekutumia msg umeisoma kabisa lakini hutani kunijibu"
Nikajiuliza simu ni mali yangu, iweje mtu aanze lawama na maneno mpaka kufikia kugombana? Nilichoamua ni kulifutilia mbali hilo li wasap, na tena ninatamani hata hizi txt za kawaida nizizuie zisiweze kuingia, ili mtu akiwa na shida na mimi awe anapiga tu, nimeshajaribu kubadilishe Center namba ila bado zinaingia, kwanza naombeni msaada kwa mtu mwenye ufahamu
Mlio wengi hasa wanaume mnaowekwa profile picture za wanawake kwenye mitandao ya jamii, na maneno fulani hivi ya kusindikizia kwenye status, msidhani mnapendwa sana ila mnatumika kwa mambo yafuatayo:
1. Kupunguza usumbufu wa inbox kwa huyo mwanamke.
2. Kutuliza maumivu ya mwanamke kuachwa.
3. Kuwaonesha wanawake wengine naye ana bwana.
4. Kukufunga usipate mwanamke mwingine, ili akukamue bara bara.
Usivimbe kichwa kwamba ukiwekwa Profile Picture unapendwa sana, ni maslahi binafsi hayo amka.
Ni mawazo yangu tu washkaji msijenge chuki.
We ni me au ke??!!
Ukiwekwa au usipowekwa kama "profile picture" haibadilishi chochote. Siku hizi watu wanatongoza chochote. Wengine wamefika mbali wanatongoza hadi "ATM Machines". Na kuhusu kukamuliwa, kwa nini usizitoe mwenyewe mpaka uombwe ombwe au utengenezewe mazingira ya kukamuliwa.
Mambo si ndio hayo sasa, ni wanaume tu ndio wanalijua hilo.
Usifurahie tu, na wewe pia ujue kutoa, siyo kupokea tu.
Hahahaaaa!! Uwiii kwa hapo hapana kwakweli, kwaheri aisee.
Ukiwa unapewa tu, haina raha, lakini mkipeana ni raha zaidi. Usiogope.
Mi popote pale panapoitwa mtandaoni siweki picha yangu, hata ya ndugu yangu, ya kile ninachofanya...
Naona huwa ni ushamba fulani hivi mtu anajipiga picha kabenua makalio afu huyo whatsapp profile..
Kuna watu akili zao ndogo sana