Kama kuwekana profile pic ni kipimo cha upendo basi mie Nina F!!!
Akitaka ku appear kwenye profile pic aweke kwenye cmu yake!
Labda hilo la nne...ayo matatu yana madhara gani kwa aliyewekwa?
Kaazi kweli kweli .......
Ni show off za kijinga jinga kwa kweli!nimeshagombana na mwenzi wangu mara kibao.!!
oooh!! hunipendi, kwa nini huweki profile ya picha yangu.
nikamwambia, kama ndio mawazo yako basi mimi sikupendi kabisaaaa!!!
tena naomba tuachane kuanzia leo.
tangu siku hiyo haongelei tena mambo hayo.
kuna wengine hatupendi show off za kijinga jinga
Ni show off za kijinga jinga kwa kweli!
Ngoja nikuweke bango TBC kabisaaa
Unajua kitakachokupata
Nikiamua utaniweka kwa heri au kwa shari. . . . .
Aisee....
Mtu mzima haogopi nini tena. . . . . ??!!!
Dah! Mimi haya mambo ya Whatsapp nilisha acha kutumia, tangu walivyoanza eti mara ukitumiwa ujumbe ukausoma mtumaji anajua so usipomjibu anaanza lawama kibaao, mara oooh nimekutumia msg umeisoma kabisa lakini hutani kunijibu"
Nikajiuliza simu ni mali yangu, iweje mtu aanze lawama na maneno mpaka kufikia kugombana? Nilichoamua ni kulifutilia mbali hilo li wasap, na tena ninatamani hata hizi txt za kawaida nizizuie zisiweze kuingia, ili mtu akiwa na shida na mimi awe anapiga tu, nimeshajaribu kubadilishe Center namba ila bado zinaingia, kwanza naombeni msaada kwa mtu mwenye ufahamu