Mnaowekwa Profile Picture mnatumika

Mnaowekwa Profile Picture mnatumika

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Mlio wengi hasa wanaume mnaowekwa profile picture za wanawake kwenye mitandao ya jamii, na maneno fulani hivi ya kusindikizia kwenye status, msidhani mnapendwa sana ila mnatumika kwa mambo yafuatayo:

1. Kupunguza usumbufu wa inbox kwa huyo mwanamke.
2. Kutuliza maumivu ya mwanamke kuachwa.
3. Kuwaonesha wanawake wengine naye ana bwana.
4. Kukufunga usipate mwanamke mwingine, ili akukamue bara bara.

Usivimbe kichwa kwamba ukiwekwa Profile Picture unapendwa sana, ni maslahi binafsi hayo amka.

Ni mawazo yangu tu washkaji msijenge chuki.
 
Labda hilo la nne...ayo matatu yana madhara gani kwa aliyewekwa?
 
Kwa hiyo unashaurije au nini iwe ni mbadala wa profile picha..?
 
Kama kuwekana profile pic ni kipimo cha upendo basi mie Nina F!!!
Akitaka ku appear kwenye profile pic aweke kwenye cmu yake!

Nikiamua utaniweka kwa heri au kwa shari. . . . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom