Mnaoweka matuta rough Road Acheni Rohombaya

Mnaoweka matuta rough Road Acheni Rohombaya

Endesheni gari badala ya baby walkers. Mnalia lia nini? Umekomaa dume zima una kilo 80 upo ndani ya IST....kinaburuzika barabarani. Hebu endesheni magari muone kama hivyo vijituta ni issue. Tatizo bodaboda lakini ndio wanaowaponza.
 
Back
Top Bottom