Mnaouza bidhaa online kwanini hamuweki wazi bei ya bidhaa zenu?

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,831
3,515
Hii ni kwa wengi wenu na sio wote.

Je kuna sababu gani ya kitaalam ya kufanya hivo?

Maana unaiona bidhaa unakuta umeipenda ila bei sasa hauioni, mwingine anakuambia hadi umpige simu kuulizia bei!.

Tatizo nini hasa?

Hamuoni kama kuna customers mnawapoteza kwa kutoweka bei?
 
Hii ni kwa wengi wenu na sio wote.

Je kuna sababu gani ya kitaalam ya kufanya hivo?

Maana unaiona bidhaa unakuta umeipenda ila bei sasa hamuoni, mwingine anakuambia hadi umpige simu kuulizia bei!.

Tatizo nini hasa?

Hamuoni kama kuna customers mnawapoteza kwa kutoweka bei?

Mtu asiyeweka bei ni wa kumpotezea, pengine bidhaa zake huwa anauzia majini na sio wanadamu...
 
Wabongo ujanja mwingi sana ..ukiona ivo ujuwe kabisa kaweka bei kubwa sana na hata wengine wanaweza ibuka kwenye comments wakamchallenge..bei zetu wabongo haziko fair ..huwa nikiangalia bei za wabongo huwa nabaki kucheka tu..kitu mtandaoni aliexpress ni 25,000 mbongo anauza laki moja..
 
Back
Top Bottom