Mnaouliza kwanini Watanzania wameichoka CCM na hawataki kuisikia, picha hii imeeleza vizuri. Hata mimi ningechagua jiwe!

Mnaouliza kwanini Watanzania wameichoka CCM na hawataki kuisikia, picha hii imeeleza vizuri. Hata mimi ningechagua jiwe!

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
889
Reaction score
2,863
Wakuu

Naomba hii picha ikumbushe watawala kwanini watu wamekisusa chama chao

Hata ingekuwa wewe upo kwenye ballot box, kwanini usichague jiwe ukaiacha CCM?



photo_2025-12-14_00-36-09.jpg
 
Pale Bunda mjini kata nzima waliopiga kura kwa samia walikuwa 21, ilibidi watu wawekwe camp na pesa kash 2.5m waanze kutiki jina la Samia.

Kula Biharamulo DSO alikuwa anatafuta angalau picha ya watu waliopo kwenye foleni siku hiyo ya kupiga kura ili atume kwa wakubwa wake, Wilaya nzima ya Biharamulo picha ya watu angalau watatu waliopanga foleni kupiga kura hazikupatikana.

Kwakweli Samia alikataliwa na anazidi kukataliwa.
Mwenye picha watu wakipiga kura October 29, naomba kwa ajili ya kumbukumbu.
 
Back
Top Bottom