Mnaotumia mikono ya kulia mjitafakari sana, nimegundua kitu...

Wakiwa wanachonga matunda tunayonunua humo majiani au mahotelini; kisu wanashikia mkono wa kulia huku tunda lenyewe linalohitaji usafi wa kina wanashikia mkono wa kushoto (na ni haohao wanapenda sana kuuita mkono wa m*vi)!.

Wanaweza wakabanwa na haja kubwa wakati wanachonga hayo matunda, bbasi huenda kujisaidia na kuchamba kwa kutumia mkono wa kushoto (wengi wao hawana sabuni au hawatumii kabisa kwa kutoijua au kutokana na haraka ya kukimbilia wateja). wakishamaliza hurudi kuendelea kuchonga matunda hayo kwa kuyashika kwa mkono waliotoka kuchambia punde tu huku kisu wakiendelea kukishikia kwa mkono wa kulia. :mad::mad::mad:

Sinunui tunda la kuchongwa mimi, vinginevyo basi nijiridhishe kuwa mchongaji ni left handed!
kabisa mwanaume umesimama njiani unasubiri jamaa Akuchongee tunda. Bora muwa
 
Kumbe tunakulaga matako, makamasi, mbususu na miboo ya watu kwa kula matunda ya watu wanaotumia mikono ya mavi 😠😠

Nashukuru sana nature imenileta nikiwa mashoto
 
Kiufupi mkuu tunalishwa mamilioni ya bacteria na watu wanaotuhudumia chakula migahawani,harusini,majumbani,magerezani,msukuleni nk
 
Wakiwa wanachonga matunda tunayonunua humo majiani au mahotelini; kisu wanashikia mkono wa kulia huku tunda lenyewe linalohitaji usafi wa kina wanashikia mkono wa kushoto (na ni haohao wanapenda sana kuuita mkono wa m*vi)!.

Wanaweza wakabanwa na haja kubwa wakati wanachonga hayo matunda, bbasi huenda kujisaidia na kuchamba kwa kutumia mkono wa kushoto (wengi wao hawana sabuni au hawatumii kabisa kwa kutoijua au kutokana na haraka ya kukimbilia wateja). wakishamaliza hurudi kuendelea kuchonga matunda hayo kwa kuyashika kwa mkono waliotoka kuchambia punde tu huku kisu wakiendelea kukishikia kwa mkono wa kulia. :mad::mad::mad:

Sinunui tunda la kuchongwa mimi, vinginevyo basi nijiridhishe kuwa mchongaji ni left handed!
Aisee
 
Hivyo vyakula vya hotelini tunajua vinapikwa kwenye hali gani?
 
Huu ni ujinga au umajinun.

Kwa hiyo kama ni left hand ndio msafi?Anatumia mkono wa kulia kwa matumizi ya chooni na hata yeye akishika kisu hashiki na mkono wa kulia anashika na mkono wa kushoto huku tunda amelishika na mkono wake unaouita wa "mavi" jambo ambalo siliafiki ingawa.
Wakiwa wanachonga matunda tunayonunua humo majiani au mahotelini; kisu wanashikia mkono wa kulia huku tunda lenyewe linalohitaji usafi wa kina wanashikia mkono wa kushoto (na ni haohao wanapenda sana kuuita mkono wa m*vi)!.

Wanaweza wakabanwa na haja kubwa wakati wanachonga hayo matunda, bbasi huenda kujisaidia na kuchamba kwa kutumia mkono wa kushoto (wengi wao hawana sabuni au hawatumii kabisa kwa kutoijua au kutokana na haraka ya kukimbilia wateja). wakishamaliza hurudi kuendelea kuchonga matunda hayo kwa kuyashika kwa mkono waliotoka kuchambia punde tu huku kisu wakiendelea kukishikia kwa mkono wa kulia. :mad::mad::mad:

Sinunui tunda la kuchongwa mimi, vinginevyo basi nijiridhishe kuwa mchongaji ni left handed!
 
.
 
Attachments

  • video-2021-08-31-03-08-41.mp4
    2.2 MB
Back
Top Bottom