Mnaotumia mikono ya kulia mjitafakari sana, nimegundua kitu...

I'm lefted handed kuchambia mkono wa kushoto nimejifunza ukubwani, point yang kuu ni mashoto wengi wanatumia right hand kuchamba so hapo hujakwepa chochote mkuu
 
Ila we jamaa mimi hua nnakukubali kinoma, yaani nikikuta thread yako humu jamvini hua lazima niipitie halafu nnakutana na madini tupu.
Asante sana kwa kunikubali kaka mkubwa. Pia ninaomba mnikosoe pale ninapoteleza kwa maana mimi pia ni mwanadamu na sijakamilika kwa 100%
 
ukimchunguza sana bata hauwezi kumla, mbona hata wakandaji wa unga wa vitafunio (eg; andazi, chapati, sikonzi etc) nao pia huzikanda kwa mikono yote tena wakipanguza mapua yao kwa mikono hiyo hiyo pia kujikuna..wengine hata kujishika sehemu za miwasho kama matacleni..

suala la usafi ni jema ila uzingatiwaji wake hakuna auwezaye!!
 
Mkono wa kulia hauwezi kuwa safi kama wa kushoto ni mchafu.
Osha mikono kwa sabuni na maji tiririka.
 
ukimchunguza sana bata hauwezi kumla, mbona hata wakandaji wa unga wa vitafunio (eg; andazi, chapati, sikonzi etc) nao pia huzikanda kwa mikono yote tena wakipanguza mapua yao kwa mikono hiyo hiyo pia kujikuna..wengine hata kujishika sehemu za miwasho kama matacleni..

suala la usafi ni jema ila uzingatiwaji wake hakuna auwezaye!!

Vitafunio = Vitafunwa (Vitafunio ni meno yako wewe mlaji)
 
Hili suala ni dogo ila linakuzwa kimkakati japo sijajua ni mkakati wa nini na kwa nini. Kiufupi wale jamaa wanaomenya machungwa ni wasafi, kama wangekuwa wachafu basi wengi tungeugua kipindupindu baada ya kutumia matunda yao waliotuchongea.
 
Back
Top Bottom