Mnaotumia mikono ya kulia mjitafakari sana, nimegundua kitu...

NIMEONA

JF-Expert Member
Aug 4, 2019
3,832
5,618
Wakiwa wanachonga matunda tunayonunua humo majiani au mahotelini; kisu wanashikia mkono wa kulia huku tunda lenyewe linalohitaji usafi wa kina wanashikia mkono wa kushoto (na ni haohao wanapenda sana kuuita mkono wa m*vi)!.

Wanaweza wakabanwa na haja kubwa wakati wanachonga hayo matunda, bbasi huenda kujisaidia na kuchamba kwa kutumia mkono wa kushoto (wengi wao hawana sabuni au hawatumii kabisa kwa kutoijua au kutokana na haraka ya kukimbilia wateja). wakishamaliza hurudi kuendelea kuchonga matunda hayo kwa kuyashika kwa mkono waliotoka kuchambia punde tu huku kisu wakiendelea kukishikia kwa mkono wa kulia. :mad::mad::mad:

Sinunui tunda la kuchongwa mimi, vinginevyo basi nijiridhishe kuwa mchongaji ni left handed!
 
Shikamoo kaka mkubwa
Marhabaaaaaa
Ila hio salamu isiishie kwangu tu, anza kupita kwa kila mtu aliechangia mada kwenye hii thread umpe heshima yake.
Ila we jamaa mimi hua nnakukubali kinoma, yaani nikikuta thread yako humu jamvini hua lazima niipitie halafu nnakutana na madini tupu.
MUNGU akubariki sana akuzidishie hekima na busara katika maisha yako.
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom