Na mimi naomba kuelimishwa jinsi ya kuondoa harufu ya shombo kwenye friji, manake kuna siku waliweka samaki wabichi.bila kuwafunga vizuri basi harufu bado ipo, nimeliosha had nimechoka.
Place an open container of baking soda inside the fridge and close the door, may take a few days.
OR
Just use plain coffe grounds - place a cupful in the fridge and it will absorb the terrible smell.
Ndugu wana JF. Naomba kufahamishwa maana ya taa zenye rangi mbalimbali zilizopo kwenye baadhi ya mafriji. Nini maana ya taa yenye rangi ya kijani,njano na nyekundu. Pia alama ya nyota moja kwenye friji inamaanisha nini? Natumia freezer aina ya BEKO model BZ-602.Naomba kuelimishwa kuhusu sifa za friji hizi.
Traffic lights
Kuwa mstaarabu, sidhani pumba kama hizi ndo zimekuleta JF. Ukiangalia hujamaliza hata mwaka, jariibu kujifunza kwa waliokutangulia uone ustaarabu wao.
Ndugu wana JF. Naomba kufahamishwa maana ya taa zenye rangi mbalimbali zilizopo kwenye baadhi ya mafriji. Nini maana ya taa yenye rangi ya kijani,njano na nyekundu. Pia alama ya nyota moja kwenye friji inamaanisha nini? Natumia freezer aina ya BEKO model BZ-602.Naomba kuelimishwa kuhusu sifa za friji hizi.
Ndugu wana JF. Naomba kufahamishwa maana ya taa zenye rangi mbalimbali zilizopo kwenye baadhi ya mafriji. Nini maana ya taa yenye rangi ya kijani,njano na nyekundu. Pia alama ya nyota moja kwenye friji inamaanisha nini? Natumia freezer aina ya BEKO model BZ-602.Naomba kuelimishwa kuhusu sifa za friji hizi.
Na mimi naomba kuelimishwa jinsi ya kuondoa harufu ya shombo kwenye friji, manake kuna siku waliweka samaki wabichi.bila kuwafunga vizuri basi harufu bado ipo, nimeliosha had nimechoka.
Nunua barking powder.Fungua box lake,usiimimine wala kuimwaga.Weka usiku kesho yake harufu hutoisikia.