Mnaotumia laptop kwa ajili ya gaming tukutane hapa

Marashaaa95

JF-Expert Member
Nov 9, 2015
844
721
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nataka kujua yafuatayo:

1.Uwezo wa laptop husika kucheza games kubwa na nzito.

2.Specification za laptop husika.

3.Majina ya ma games unayocheza.
Yale mepesi na mazito mazito yenye high graphics

4.Jina la kampuni la hiyo laptop e.g DELL,ACER,SAMSUNG e.t.c.

5.Picha za laptop unayotumia kuchezea games zako.

a0b0d0eee9d5adec6d1fc1b5754e2847.jpg

AHSANTENI
 
mbona op haujaanza wewe kutoa spec zako na games unazocheza??

mi nimenunua juzi tu ni hp ram 8 gb, hdd 1tb, amd graphics r5 m330 2gb vram sina hata magame nina battlefield 1 low napata 35-37 fps medium 30 fps na gta 5 fps 35-40
 
Nataka kununua PC ko ntaangalia best PC kwa ajili ya gaming ili na Mimi ninunue coz za kwenye simu zmenichosha nataka niwe nacheza kupitia laptop ntakayo nunua
 
Sinaga mda na games but kuna dogo anachezaga pes 17 max settimgs kwenye laptop yangu ya hp yenye processor latest ya core i5 (kebby lake), 8gb ram, dual graphics card ya kwanza intel hd 620 na nvidia geforce 630mx, pia hii mashine youtube nlimeona mshkaji anaichezea gta 5
 
Ni sh ngapi dukani au used mkuu
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Nataka kujua yafuatayo:

1.Uwezo wa laptop husika kucheza games kubwa na nzito.

2.Specification za laptop husika.

3.Majina ya ma games unayocheza.
Yale mepesi na mazito mazito yenye high graphics

4.Jina la kampuni la hiyo laptop e.g DELL,ACER,SAMSUNG e.t.c.

5.Picha za laptop unayotumia kuchezea games zako.

a0b0d0eee9d5adec6d1fc1b5754e2847.jpg

AHSANTENI
Nacheza ETS 2,pc ni hp pavillion dv6 fingerprint core i7,ram 4gb,hdd 500 gb
 
Back
Top Bottom