Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,779
wale watumiaji wa barabara ya Kilwa ikiwemo wanaoingia jijini Dar es Salaam na wale wanaosafiri mikoa ya Kusini chukua tahadhari mapema, wengine huko wamelazimika kusubiri kwa zaidi ya saa sita baada ya ajali mbaya iliyohusisha magari matatu, bajaj na pikipiki kutokea katika eneo lenye kilima kikali karibu na daraja la bonde la Mto Mzinga Mbagala jijini Dar es Salaam.