CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,387
- 6,480
Unam miss quote alichosema.
Unam miss quote alichosema.
Jana nimesikia Dr. Jakaya Kikwete anahubiri kuwa Mtwara utakuwa mji wa viwanda kwa ajili ya gesi. Mtapata ajira na neema itawashukia. Msiwe wajinga, maana watanzania ni tu wajinga, ujinga wetu unatumiwa na wana siasa kisiasa.
Mjiulize kwanza: Kule kwenye Dhahabu Buhemba, Nyamongo kukoje, ni jahanamu, Merereni kukoje ni jahamanu, kwenye mbuga za wanyama kukoje, ni jahanamu. You will not be an exception!!! Jahanamu inawasubiri. Mtahamishwa bila fidia, mtadhulumiwa . Hakuna cha ajira!!!
Kote Africa kwenye gesi, mafuta ni jahanamu-Nigeria ikoje!!! Bhoko Haram ni akina nai!!! Just wait and see!!!!! Historia inatwambia hivyo, na wala huu si uchochezi, ni sheria ya historia ya madini Tanzania. Mafuta na gesi itakuwa hivyo.
porojo tu hizi tumezizoea kule kigoma aliahidi nini?
Naamini wewe ndo hujui unenalo............. ..?? Hapo alipo JK sidhani kama hata anakumbuka aliahidi nini wakati wa uchaguzi.............Huna lolote mzushi tu, kwa hiyo ulitaka hayo mafuta na hiyo gesi viendelee kukaa tu chini, na unataka nani aje kufanya hivyo il hall sisi wenyewe tumeshindwa kuchimba? barabara ya Masasi - Songea imeshaanza kujengwa unataka kutuambia nini. Hujui unenacho.
Hivi wewe, hotel nzuri unamaanisha ile inayoitwa msemo...???Jamani Mtwara kuzuri sana sana siku hizi kwani nilipokuja Dar wiki tatu zilizopita nilitembelea mtwara kwa mwaliko wa Rafiki yangu kwa siku moja. Kwanza kabisa kuna ndege 540 zinakwenda mara mbili kwa siku na bei yake ni kama 57 Dollas return ticket.
Mtwara kuna hotels mzuri sana na sehemu nzuri sana za kupata chakula kama makonde beach club ambayo ipo kwenye mwambao wa bahari ya hindi.
Kuna makampuni mengi ya uchimbaji wa gesi na upanuzi wa bandari.
Nina hakika kabisa kama tanzania itachangamka basi Mtwara ni sehemu moja tegemeo kwa kufufua uchumi wa tanzania
Nitawawekea picha za mtwara nikinafasika baadae inshallah.
Sishangai maneno hayo...........TULISHAAMBIWA SANA KUWA VIJANA TAIFA LA KESHO.........LAKINI HADI TUNAZEEKA BADO HAJUWAHI KUWA TAIFA..............na Kingunge bado ni mzee taifa la leo. SO WAIT FOR MTWARA FUTUREKwa ufupi Mtwara ni future ya TANZANIA,
ahsanteni sana, endeleeni na mjadala.
Huna lolote mzushi tu, kwa hiyo ulitaka hayo mafuta na hiyo gesi viendelee kukaa tu chini, na unataka nani aje kufanya hivyo il hall sisi wenyewe tumeshindwa kuchimba? barabara ya Masasi - Songea imeshaanza kujengwa unataka kutuambia nini. Hujui unenacho.
Jamani Mtwara kuzuri sana sana siku hizi kwani nilipokuja Dar wiki tatu zilizopita nilitembelea mtwara kwa mwaliko wa Rafiki yangu kwa siku moja. Kwanza kabisa kuna ndege 540 zinakwenda mara mbili kwa siku na bei yake ni kama 57 Dollas return ticket.