Siku hiyo uwe mbele sawa!Toka apa
nita andamana ata kma peke yanguSiku hiyo uwe mbele sawa!
Kuwa nje ya gereza au kutokuwa na vilema kunatusaidia nini kama hali ndio hii tuliyonayo?Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio.
Baadhi ya watu wamo gerezani, pasipo kutarajia, kwa sababu tu, walisukumana na mtu mgonjwa, akafa kwa kuanguka.
Idadi kubwa ya watu ambao hawajasoma, si kwamba walikua hawana akili shuleni, lkn chanzo ni wazazi wao, walifanyiana vurugu, wakatengana, na watoto wakaambulia hasara.
Angola ni nchi tajiri sana, lkn haina wataalamu wengi, kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, iliyo dumu kwa miaka 35, pia vilema ni wengi, kwa ajili ya land mines, mabomu ya ardhini, yaliyo achwa wakati wa vita hivyo, na serikali inatumia fedha nyingi sana kuyaondosha, maana wakulima wanashindwa kuzalisha, ingawa ardhi ina rutuba.
Hayo ni baadhi tu ya athari za vurugu, choko choko na fujo. Tanzania ni nchi nzuri mno, watu wake ni waungwana pia serikali haina dini, raia wana uhuru wa kuabudu, katika dini yoyote, mradi tu ufuate sheria na kanuni zilizopo, oa na olewa na yeyote umpendaye, kwa dini yoyote, siku na saa yoyote, la endapo huko kwenye dini hawakutaki, lkn ukienda kwa mkuu wa wilaya atakufungishia ndoa yako.
Tanzania mnataka nini? waTanzania nyie, Mungu awape nn? Kila mtu, kila kiumbe kina mapungufu yake, ndiyo maana, tunakula samaki lkn miiba yake, tunaitoa, samaki ana shombo, tunamtia ndimu, lkn je si tunamla? Basi na maisha, na watu, wapo ivyo ivyo, tuangalie mazuri yao, na mapungufu yao, ni kawaida hiyo, Mungu mwenyewe, ameumba viumbe vyote vipo hivyo hivyo.
Je, hili nalo linahitaji mahubiri ya padre, shehe na mchungaji? Hebu fikicha ubongo, Mtanzania, ili ujifikirie, kama wakimbizi wa DRC, Burundi, wanakimbilia Tanzania, je ww mTanzania ukifanya fujo utakimbilia wapi?
Nawakilisha nikiwa mpakani kabisa na msumbuji huku,[HASHTAG]#Mtajijua[/HASHTAG] wenyewe..
Huu ni ushauri kwa mtawaliwa. Naomba ushauri kwa mtawala.Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio.
Baadhi ya watu wamo gerezani, pasipo kutarajia, kwa sababu tu, walisukumana na mtu mgonjwa, akafa kwa kuanguka.
Idadi kubwa ya watu ambao hawajasoma, si kwamba walikua hawana akili shuleni, lkn chanzo ni wazazi wao, walifanyiana vurugu, wakatengana, na watoto wakaambulia hasara.
Angola ni nchi tajiri sana, lkn haina wataalamu wengi, kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, iliyo dumu kwa miaka 35, pia vilema ni wengi, kwa ajili ya land mines, mabomu ya ardhini, yaliyo achwa wakati wa vita hivyo, na serikali inatumia fedha nyingi sana kuyaondosha, maana wakulima wanashindwa kuzalisha, ingawa ardhi ina rutuba.
Hayo ni baadhi tu ya athari za vurugu, choko choko na fujo. Tanzania ni nchi nzuri mno, watu wake ni waungwana pia serikali haina dini, raia wana uhuru wa kuabudu, katika dini yoyote, mradi tu ufuate sheria na kanuni zilizopo, oa na olewa na yeyote umpendaye, kwa dini yoyote, siku na saa yoyote, la endapo huko kwenye dini hawakutaki, lkn ukienda kwa mkuu wa wilaya atakufungishia ndoa yako.
Tanzania mnataka nini? waTanzania nyie, Mungu awape nn? Kila mtu, kila kiumbe kina mapungufu yake, ndiyo maana, tunakula samaki lkn miiba yake, tunaitoa, samaki ana shombo, tunamtia ndimu, lkn je si tunamla? Basi na maisha, na watu, wapo ivyo ivyo, tuangalie mazuri yao, na mapungufu yao, ni kawaida hiyo, Mungu mwenyewe, ameumba viumbe vyote vipo hivyo hivyo.
Je, hili nalo linahitaji mahubiri ya padre, shehe na mchungaji? Hebu fikicha ubongo, Mtanzania, ili ujifikirie, kama wakimbizi wa DRC, Burundi, wanakimbilia Tanzania, je ww mTanzania ukifanya fujo utakimbilia wapi?
Nawakilisha nikiwa mpakani kabisa na msumbuji huku,[HASHTAG]#Mtajijua[/HASHTAG] wenyewe..
Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio.

Hawa hawana maandamano wala nini, ila makelele tu, Maandamano ya Mbeya hawatoi mrejesho yaliishia wapi?
Rubbish!Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio.
Baadhi ya watu wamo gerezani, pasipo kutarajia, kwa sababu tu, walisukumana na mtu mgonjwa, akafa kwa kuanguka.
Idadi kubwa ya watu ambao hawajasoma, si kwamba walikua hawana akili shuleni, lkn chanzo ni wazazi wao, walifanyiana vurugu, wakatengana, na watoto wakaambulia hasara.
Angola ni nchi tajiri sana, lkn haina wataalamu wengi, kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, iliyo dumu kwa miaka 35, pia vilema ni wengi, kwa ajili ya land mines, mabomu ya ardhini, yaliyo achwa wakati wa vita hivyo, na serikali inatumia fedha nyingi sana kuyaondosha, maana wakulima wanashindwa kuzalisha, ingawa ardhi ina rutuba.
Hayo ni baadhi tu ya athari za vurugu, choko choko na fujo. Tanzania ni nchi nzuri mno, watu wake ni waungwana pia serikali haina dini, raia wana uhuru wa kuabudu, katika dini yoyote, mradi tu ufuate sheria na kanuni zilizopo, oa na olewa na yeyote umpendaye, kwa dini yoyote, siku na saa yoyote, la endapo huko kwenye dini hawakutaki, lkn ukienda kwa mkuu wa wilaya atakufungishia ndoa yako.
Tanzania mnataka nini? waTanzania nyie, Mungu awape nn? Kila mtu, kila kiumbe kina mapungufu yake, ndiyo maana, tunakula samaki lkn miiba yake, tunaitoa, samaki ana shombo, tunamtia ndimu, lkn je si tunamla? Basi na maisha, na watu, wapo ivyo ivyo, tuangalie mazuri yao, na mapungufu yao, ni kawaida hiyo, Mungu mwenyewe, ameumba viumbe vyote vipo hivyo hivyo.
Je, hili nalo linahitaji mahubiri ya padre, shehe na mchungaji? Hebu fikicha ubongo, Mtanzania, ili ujifikirie, kama wakimbizi wa DRC, Burundi, wanakimbilia Tanzania, je ww mTanzania ukifanya fujo utakimbilia wapi?
Nawakilisha nikiwa mpakani kabisa na msumbuji huku,[HASHTAG]#Mtajijua[/HASHTAG] wenyewe..
Kwi kwi kwi kwiiiiiiii kweli wewe ni nyabhange. Andamana baba, andamana uone.i would rather die on my feet than live on my knees-Che
a coward dies a thousand deaths,a soldier dies but once-2pac
Rubbish!
i would rather die on my feet than live on my knees-Che
a coward dies a thousand deaths,a soldier dies but once-2pac
Hii ni zamani sio sasa,watu washastukia janja yenu ya kutisha watu.Subiri hiyoo 26 ndio utasikia polisi wamewaonea wakati taarifa ya matokeo wanayo kabla hawajaandamana ...mkifumliwa mkae kimya ...msilalamike