Mnaotarajia kuandamana someni hii...

Mnaotarajia kuandamana someni hii...

Bora kufa kishuja kuliko kufa kwa fedheha,, acha damu yetu imwagilie aridhi ya Tanzania kwa ajiri ya vizazi vijavyo.
Kufa kupo tu haina haja ya kuogopa hata kidogo!!
Watu wachache hawawezi kutufanya tukaishi kama vicha ndan ya nchi yetu hii ni dharau kubwa Sana.
Walikupa madaraka wanakwambia Wana njaa kwa sababu ya ukame unawaambia "MNATAKA NIJE NAWAPIKIE!?" Madaraka hulevya, huleta majivuno, huleta dharau bila kujua kuwa ni dhamana.
Kiongozi wa wanyonge, wanyonge wanakulilia unawatukana!?? Kweli kama sio dharau ni nini??
Watu Walikupa madaraka wanakwambia mtu fulan hawamtaki unawaambia wasikupangie kazi, kama sio dharau ni nn?? Yapo mengi ya kuhoji ila kwa sababu unawazuia watu kuhoji! Ndio maana wanatafuta njia mbadala ya kusema.
 
Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio.

Baadhi ya watu wamo gerezani, pasipo kutarajia, kwa sababu tu, walisukumana na mtu mgonjwa, akafa kwa kuanguka.

Idadi kubwa ya watu ambao hawajasoma, si kwamba walikua hawana akili shuleni, lkn chanzo ni wazazi wao, walifanyiana vurugu, wakatengana, na watoto wakaambulia hasara.

Angola ni nchi tajiri sana, lkn haina wataalamu wengi, kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, iliyo dumu kwa miaka 35, pia vilema ni wengi, kwa ajili ya land mines, mabomu ya ardhini, yaliyo achwa wakati wa vita hivyo, na serikali inatumia fedha nyingi sana kuyaondosha, maana wakulima wanashindwa kuzalisha, ingawa ardhi ina rutuba.

Hayo ni baadhi tu ya athari za vurugu, choko choko na fujo. Tanzania ni nchi nzuri mno, watu wake ni waungwana pia serikali haina dini, raia wana uhuru wa kuabudu, katika dini yoyote, mradi tu ufuate sheria na kanuni zilizopo, oa na olewa na yeyote umpendaye, kwa dini yoyote, siku na saa yoyote, la endapo huko kwenye dini hawakutaki, lkn ukienda kwa mkuu wa wilaya atakufungishia ndoa yako.

Tanzania mnataka nini? waTanzania nyie, Mungu awape nn? Kila mtu, kila kiumbe kina mapungufu yake, ndiyo maana, tunakula samaki lkn miiba yake, tunaitoa, samaki ana shombo, tunamtia ndimu, lkn je si tunamla? Basi na maisha, na watu, wapo ivyo ivyo, tuangalie mazuri yao, na mapungufu yao, ni kawaida hiyo, Mungu mwenyewe, ameumba viumbe vyote vipo hivyo hivyo.

Je, hili nalo linahitaji mahubiri ya padre, shehe na mchungaji? Hebu fikicha ubongo, Mtanzania, ili ujifikirie, kama wakimbizi wa DRC, Burundi, wanakimbilia Tanzania, je ww mTanzania ukifanya fujo utakimbilia wapi?

Nawakilisha nikiwa mpakani kabisa na msumbuji huku,[HASHTAG]#Mtajijua[/HASHTAG] wenyewe..
Mapungufu yao kuua wenzao kwa kosa LA kua na mtazamo tofauti? Mapungufu hayo uvumilivu wake ni nini? Kwamba bora tuendelee kuangalia tu watu wakivunja katiba na sheria?. Mtaani kwako ukijiona unaheshimiwa mno ujue wewe ni mtu wa kuheshemu wenzio mno. Lkn ukijiona ni mtu uliedharaulika mno ujue wewe ni mtu wa hvyo mno.
 
Epuka fujo, kimbia vurugu, acha choko choko, kubali kuwa mjinga mwenye faida, kuliko kuwa mjanja mwenye hasara. Kwa mwoga huenda kicheko, lkn kwa shujaa huja kilio.

Baadhi ya watu wamo gerezani, pasipo kutarajia, kwa sababu tu, walisukumana na mtu mgonjwa, akafa kwa kuanguka.

Idadi kubwa ya watu ambao hawajasoma, si kwamba walikua hawana akili shuleni, lkn chanzo ni wazazi wao, walifanyiana vurugu, wakatengana, na watoto wakaambulia hasara.

Angola ni nchi tajiri sana, lkn haina wataalamu wengi, kwa ajili ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, iliyo dumu kwa miaka 35, pia vilema ni wengi, kwa ajili ya land mines, mabomu ya ardhini, yaliyo achwa wakati wa vita hivyo, na serikali inatumia fedha nyingi sana kuyaondosha, maana wakulima wanashindwa kuzalisha, ingawa ardhi ina rutuba.

Hayo ni baadhi tu ya athari za vurugu, choko choko na fujo. Tanzania ni nchi nzuri mno, watu wake ni waungwana pia serikali haina dini, raia wana uhuru wa kuabudu, katika dini yoyote, mradi tu ufuate sheria na kanuni zilizopo, oa na olewa na yeyote umpendaye, kwa dini yoyote, siku na saa yoyote, la endapo huko kwenye dini hawakutaki, lkn ukienda kwa mkuu wa wilaya atakufungishia ndoa yako.

Tanzania mnataka nini? waTanzania nyie, Mungu awape nn? Kila mtu, kila kiumbe kina mapungufu yake, ndiyo maana, tunakula samaki lkn miiba yake, tunaitoa, samaki ana shombo, tunamtia ndimu, lkn je si tunamla? Basi na maisha, na watu, wapo ivyo ivyo, tuangalie mazuri yao, na mapungufu yao, ni kawaida hiyo, Mungu mwenyewe, ameumba viumbe vyote vipo hivyo hivyo.

Je, hili nalo linahitaji mahubiri ya padre, shehe na mchungaji? Hebu fikicha ubongo, Mtanzania, ili ujifikirie, kama wakimbizi wa DRC, Burundi, wanakimbilia Tanzania, je ww mTanzania ukifanya fujo utakimbilia wapi?

Nawakilisha nikiwa mpakani kabisa na msumbuji huku,[HASHTAG]#Mtajijua[/HASHTAG] wenyewe..
Hadithi yako inatufundisha nn Kada?
 
Back
Top Bottom