Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,955
- 15,115
Wao huko kwao wanajua wameshapata maisha ya kula na kulala na kujiuguza bila tabu kwa miaka kadhaa,wanahamia Afrika kutengeneza utajiri sasa wa vizazi vyao na wao wenyewe. Ilihali sisi huku Afrika milo mitatu tu na makazi ni issue.Katafuteni maisha ughaibuni, Ila watu wa ughaibuni Wanakuja kwetu kusaka utajiri 😂😂View attachment 2507731
Kwa hiyo tuende kwao kutafuta maisha au tusiende ?Wao huko kwao wanajua wameshapata maisha ya kula na kulala na kujiuguza bila tabu kwa miaka kadhaa,wanahamia Afrika kutengeneza utajiri sasa wa vizazi vyao na wao wenyewe. Ilihali sisi huku Afrika milo mitatu tu na makazi ni issue.
Mbona watu hawaongelei kutafuta maisha Russia, China, Iraq, Iran, Palestina, Afghanistan, Somalia, Dubai, Saudia Arabia, Misri, Libya na Uturuki?
Maisha mazuri yapo Canada, Uingereza, Austraria, USA na Canada tu?
Mbona hizo nchi tunaaminishwa raia wake wana maisha mazuri na wakarimu sanaNchi zote ulizotaja wote wanalilia kwenda kutafuta maisha mazuri ulipotaja.
Makazi bei nafuu Canada? Unaijua Canada au unsisikia wewe? Au unaongelea canada ya kwa mtogoleWahindi unawaona hapa TZ wengi plan zao ni kwenda kuishi canada...
Mpaka naandika hapa nipo kwa mtogoleMakazi bei nafuu Canada? Unaijua Canada au unsisikia wewe? Au unaongelea canada ya kwa mtogole
Makazi bei nafuu Canada ? ,Unaijua Canada au unsisikia wewe ? , Au unaongelea canada ya kwa mtogole
Wahindi unawaona hapa TZ wengi plan zao ni kwenda kuishi canada.
Nilijalibu kufatilia nikagundua canada bado nchi yenye fursa ukilinganisha na USA ambayo ina wimbi kubwa la kila mtu kuishi, kusoma, kufanya kazi na n.k....
Mnaoenda huko muwe makini sana, binafsi nilienda abroad kupitia rafiki yangu anayeishi huko katika utafutaji nikajikuta on the wrong side of the law...
Sahihi, kwa Tanzania rushwa imeokoa wengi kufikishwa mbele ya mkono wa sheriaJela hata Tanzania unaenda, tena kwa kubambikiwa kesi. USA/EU/GB/Australia kubambikiwa kesi siyo rahisi. Ila USA/EU/Canada etc. kufungwa ni rahisi kuliko Tanzania. Makosa madogo ambayo police anaweza kumezea akipewa kahawa huku lazima ufike mbele ya hakimu.
Mkuu mbona kuna wimbi kubwa la watu wanatoroka kanada na kuingia Marekani kinyemela. Yani idadi imezidi.
Now they're coming from CANADA: Northern border sees 743% spike in migrants trying to cross into US | Daily Mail Online.
Northern border sees 743% spike in migrants trying to cross into US
Border patrol agents in North Dakota and Minnesota say they have already seen more migrants in three months than in the whole of the previous fiscal year.www.dailymail.co.uk