Mnaotaka kuandamana naomba mniambie

Mnaotaka kuandamana naomba mniambie

Kwanini mnataka KUANDAMANA?
Nasoma comment Kama hujui kaa kimya.
Kwa wakati huu hata hustahili kuambiwa tena kwani ulikuwa usingizini ama kwa kupuuza ama mazoea hadi kuigharimu nguvu kazi ya tsifa hili sii tu mali bali hata na maisha kisa kukosa usikivu ama kuthamini maslahi ya wachache ama kikundi cha wachache,hivi sasa ni hatua za majerui kuona ahadi mpya zitafanana na uongo wa wakati wote ama utekelezaji utafanya kulingana na mahitaji ya wenye kutoa mamlaka na kutarajia matokeo kwa ahadi z8lizototewa hasa zile za marekebisho zilizopuuzwa kwa muda mrefu.?
 
  • Thanks
Reactions: vnn
Kwanini mnataka KUANDAMANA?

Nasoma comment Kama hujui kaa kimya.
FB_IMG_1762873893989.jpg
 
Yameisha semwa sana, why unauliza wkt majibu yako mitandaoni?
kimsingi kwa yaliyotokea trh 29 ,samuya hakutakiwa kuwa alipo. Unadhani hiyo 9 Dec itakija na mabadiliko gani?

Nachojua waandamanaji wakisema waharibu tena mali za mabwanyenye safari hii watapata shida.
 
Sababu kubwa uongozi umeingia bila rudhaa ya wananchi. Kilichotokea kwenye uchaguzi wewe mwenyewe umekiona.
 
Back
Top Bottom