The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,401
- 3,641
Kumbe binadamu unaweza kutembea na fikra zilizokufa?Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya uraia.
Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu sana.
Mwanaccm toka lini akapenda harakati za katiba mpya??Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya uraia.
Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu sana.
Primitive thinking..Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya uraia.
Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu sana.
Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.

Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu san
Haya ndiyo madhara ya kuvutia bhange chooniKatiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya uraia.
Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu sana.
Mwambie shangazi yako na wajomba zako kuwa kwa sasa watanzania wameshatoka kwenye zidumu fikra sahihi za mwenyekiti wa chama.Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya uraia.
Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu sana.
Ubarikiwe sana kwa comment yenye uweledi.Sijui una umri gani lkn nadhani ukoo wenu mna laana si bure yani we mbuzi huoni umuhimu wa katiba mpya kwa hali tuliyo nayo kwl!!!!? Unaelewa kbs watz ni wanyonge kama alivowaita Magufuli yani hawawezi kujijitea,, sasa wanatokea watu wa kuona mbali wanadai katiba ni mbovu we unakinzana nao,,,Ebu fikiria jamii za kusini na hata kanda ya ziwa(sukuma) wanajua nini juu ya Rais kuwa kila kitu hapa nchini( mungu mtu) hapana shaka jamii kama hizi lazima wawepo watu ambao watatenda kwa ajili yao hasa kuhusu mambo ambayo kwao wala hawajui chochote zaidi ya kula,kulala na kusubiri kufa.Na ccm ndio furaha yao kuwa na watu short sighted kama hao.
Hakuna wa kuuzima kwa sasa hapa TanzaniaMwanaccm toka lini akapenda harakati za katiba mpya??
Mlikataa hakuna corona, mkakataa Chanjo leo yako wapi?? Na katiba Mpya mtakubali tu.
Huu moto hatupoi.
Mleta uzi ni mmojawaoKumbe binadamu unaweza kutembea na fikra zilizokufa?
Umevimbiwa na manumbu ya kwenu izendalyanyikoKatiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya uraia.
Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu sana.
Mkoloni wetu muingereza katiba yake ina miaka 120+ na sisi katiba yetu hii tunataka ifike miaka 150,chadomo nyie fanyeni ugaidi tu[emoji23][emoji1787]Mwanaccm toka lini akapenda harakati za katiba mpya??
Mlikataa hakuna corona, mkakataa Chanjo leo yako wapi?? Na katiba Mpya mtakubali tu.
Huu moto hatupoi.
Inaweza ikawa na miaka hata 500 but inakidhi mahitaji ya msingi kwa kiasi gani kwa mfano haki,utu ,uwajibikaji na mamlaka...wenzetu haya mambo waliyaona mapema sana na ndio maana tawala zao zinaheshimu katiba kwa sababu mamlaka yao yana mipaka stahikiMkoloni wetu muingereza katiba yake ina miaka 120+ na sisi katiba yetu hii tunataka ifike miaka 150,chadomo nyie fanyeni ugaidi tu[emoji23][emoji1787]
Mkoloni wetu muingereza katiba yake ina miaka 120+ na sisi katiba yetu hii tunataka ifike miaka 150,chadomo nyie fanyeni ugaidi tu[emoji23][emoji1787]
Katiba mpya ni dai linalotokana na utashi wa kisiasa kwa kiwango kikubwa lakini pia ni zao la mwamko mkubwa wa wananchi kuchoshwa na namna wanavyoongozwa.
Na mara nyingi kuchoshwa huku lazima kutokane na kukata tamaa ya maisha kwa walio wengi lakini pia kupata mwamko mkubwa wa elimu ya uraia.
Bahati mbaya ni kwamba wapigania katiba wa sasa wanataka katiba iwasaidie kwenye mapambano ya kisiasa, ndio maana hii ajenda ni ngumu sana.
Ya kwetu Ina kidhi yote hayo na ndio maana hatuna mpango na kitu mnachoita katiba mpyaInaweza ikawa na miaka hata 500 but inakidhi mahitaji ya msingi kwa kiasi gani kwa mfano haki,utu ,uwajibikaji na mamlaka...wenzetu haya mambo waliyaona mapema sana na ndio maana tawala zao zinaheshimu katiba kwa sababu mamlaka yao yana mipaka stahiki
Sidhani kama unafahamu kwa undani unachokisema.Ya kwetu Ina kidhi yote hayo na ndio maana hatuna mpango na kitu mnachoita katiba mpya
Nafahamu ndio maana nimesema au mpaka niwe sawa na mawazo yako?Sidhani kama unafahamu kwa undani unachokisema.