Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
Sijui kuhusu JF,
Lakini enzi za YA kuna watu walikutana wakaoana wana watoto nafikiri mkubwa karibu anaingia high school sasa. Wako fresh tu as far as we know publicly (privately is another matter entirely, I mean who would've thunk Al and Tipper Gore would've separated after all those years and the public image?).
Kwa hiyo ingawa the odds zinaweza kuwa insurmountable, si kweli kwamba haiwezekani.
Na kama kweli waili wote mna nia, JF inaweza kuwa sehemu nzuri ya kukutania kwa sababu wote mnapendana on the mental level kwanza, kabla ya vishawishi vya visuals ambavyo vinaweza kuwa na nguvu kuliko logic kuchukua mwendo..
All in all the key is you gotta know a person very well before marriage.Unaweza kukutana na mtu offline, usichukue muda kumjua, mkaoana kwa heat ya mapenzi mapya, baadaye ikawa disaster.
Unaweza kukutana na mtu online, mkaenda through trials and tribulations na baptism by fire and all that, mka surive, mkajuana vizuri, mkija kuoana mkawa success story kama hiyo ya washkaji niliowasema hapo juu.
Kwa hiyo offline/ online si issue.Kicheche ni kicheche tu offline au online, na binti anayejiheshimu atajiheshimu tu offline au online. Kusema kwamba huwezi kupata binti anayejiheshimu humu online ni sawa na kuwatukana members wenzetu wa kike wote wanaokuja hapa, kitu ambacho kitaonyesha upungufu wako mtukanaji katika kuchambua mchele na pumba.
Halafu hii habari ya kusema great thinkers hawa date ni absurd, wamesema great thinkers, hawajasema ascetic hermits, there is a big difference.
Hata hao kina Gandhi, Mandela, Russell na wengine wali date na kuoa.
Achana naye Love asiyejua maana haambiwi maanaSORRY BUDDY,at quick glance,your joining in date was about the time Ze Utamu ceased to exist,unfortunately the upgrade you vyied for is beyond your thinking capacity,iko forum mmoja inaitwa darhotwire,nadhani you will be more comfortable there,Pitying your wits against great thinkers would at most damage your puny brain for good
need i say more?great thinkers mnaweza add 1plus 1. IT is possible and has just unfolded in your very own eyesAchana naye Love asiyejua maana haambiwi maana
Wanatafuta ATM hao ndugu yangu!
mi nilipata mchumba kupitia online, na baada ya kuonana alikuwa serious kuoa,ila nilishindwa ana kila baya la hapa duniani, ANAVUTA SIGARA,BANGI,anabeba UNGA(Dawa za kulevya)anauza na ANAKULA,aliwahi kuwa mwizi(anadai alikuwa anasingiziwa) ameshakaa jela kama mara 35,mara yake ya mwisho alifungwa PAKISTANI miaka 4, MFIRAJI, sina uhakika, ila nadhani pia ANAFIRWA.
sirudii tena,yamenikuta
need i say more?great thinkers mnaweza add 1plus 1. IT is possible and has just unfolded in your very own eyes
need i say more?great thinkers mnaweza add 1plus 1. IT is possible and has just unfolded in your very own eyes
THANKS for the song,me and Ngonzi will treasure it forever,furthermore we will consider the song as present from the JF franternity
Du! kwa hiyo ushaliwa tgo weye.....mi nilipata mchumba kupitia online, na baada ya kuonana alikuwa serious kuoa,ila nilishindwa ana kila baya la hapa duniani, ANAVUTA SIGARA,BANGI,anabeba UNGA(Dawa za kulevya)anauza na ANAKULA,aliwahi kuwa mwizi(anadai alikuwa anasingiziwa) ameshakaa jela kama mara 35,mara yake ya mwisho alifungwa PAKISTANI miaka 4, MFIRAJI, sina uhakika, ila nadhani pia ANAFIRWA.
sirudii tena,yamenikuta
mi nilipata mchumba kupitia online, na baada ya kuonana alikuwa serious kuoa,ila nilishindwa ana kila baya la hapa duniani, ANAVUTA SIGARA,BANGI,anabeba UNGA(Dawa za kulevya)anauza na ANAKULA,aliwahi kuwa mwizi(anadai alikuwa anasingiziwa) ameshakaa jela kama mara 35,mara yake ya mwisho alifungwa PAKISTANI miaka 4, MFIRAJI, sina uhakika, ila nadhani pia ANAFIRWA.
sirudii tena,yamenikuta
..............................