Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 5,076
- 10,556
Usitufokee....🤨Kuna mtu hapa yeye kila uzi lazima accomment 24/7 Hrs. Sasa ndugu mnatoa wapi hela ya kununulia bundles?
kuna za jero mjini siku nziiimaaaaaaaaaaaKuna mtu hapa yeye kila uzi lazima accomment 24/7 Hrs. Sasa ndugu mnatoa wapi hela ya kununulia bundles? Au ndo ilishasemwa Jf ni mtandao wa watu madon?
Kwa mwaka 720000 huo utumwakwa elfu 60 tu unaserebuka mwezi mzimaaa no limit ya GB.. yaan iko ivo
Sijakufokea kaka najaribu kuwasanua makapuku forums wenzangu wasifate mkumboUsitufokee....🤨
Mkuu, kama bado unawaza kuhusu bando Mungu akusaidie na akufanyie wepesi. Huo muda wa kuwaza bando waza utakula nini kabla ya kuwaza maswala ya bando.Kuna mtu hapa yeye kila uzi lazima accomment 24/7 Hrs. Sasa ndugu mnatoa wapi hela ya kununulia bundles? Au ndo ilishasemwa Jf ni mtandao wa watu madon?
Hilo la wiki najiungaje mkuuMkuu, kama bado unawaza kuhusu bando Mungu akusaidie.. Huo muda waza utakula nini kabla ya kuwaza maswala ya bando.
Sasa hivi bando bwelele.. Kipindi najiunga JF 2007, nikitaka kuingia JF naendda Stationary kulikuwa na Computer.. Nikiwa mjini naingia mle ndani Posta kulikuwa na Sehemu kuna komputa.. Kutumia internet Nusu saa nilikuwa nalipia buku.
Kipindi hicho JF haina mention wala like. Like zilikuwa zinaitwa Thanks.
Kipindi hicho hata mtu akikuquote hujui.. Hivyo ulikuwa unatakiwa upitie thread zote ulizokomenti kuangalia kama kuna mtu kakujibu.
Sasa hivi buku unapata bando la wiki.
nunua WiFi wewe acha ubahir una lipia 70k una tembea nayo popote pale kwa utulivuHilo la wiki najiungaje mkuu
Huu mtandao ganikwa elfu 60 tu unaserebuka mwezi mzimaaa no limit ya GB.. yaan iko ivo
Sasa si anatumia yeye na wenzake 9 hapo dukani kwake.Kwa mwaka 720000 huo utumwa
JamaniSasa hivi buku unapata bando la wiki.