Mnaosema zitto kajiunga zamani ACT

Status
Not open for further replies.
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI

Stop misused Kijana with Traitors, will cost you to Allah.
 
Mimi ni mwana chadema lakini sina kadi. Vipi nikichukua leo! ndo nitakua nimeanza kuijua leo chadema?
 
Mpwa katika maisha kuna vitu vya muhimu na vya lazima siasa sio muhimu na wala si lazima

mpwa wangu unataka zitto asifanye siasa za kumkomboa mwananchi
nani azifanye sasa? unataka CCM itawale milele???
 
zitto kajiunga juzi na kadi yake ni version mpya ya muindo tofauti
na za zamani za waasisi ni kipande kimoja
nitaweka ya kwangu bila kigeuza maana ina picha yangu hii ni ya waasisi
nitaweka na ya zitto za sasa
MUACHE KUPOTOSHA WATU KWA MAKUSUDI

Kumbe wewe mwanamke una akili nyingi kiasi hiki!!!! leo ndio nimelijua tuko pamoja katika chama chetu.
 
mpwa wangu unataka zitto asifanye siasa za kumkomboa mwananchi
nani azifanye sasa? unataka CCM itawale milele???

Mpwa kuna maisha hata nje ya siasa na ukombozi huletwa kwa njia nyingi labda hii topic tukionana tutaijadili kwa undani zaidi
 
Mpwa kuna maisha hata nje ya siasa na ukombozi huletwa kwa njia nyingi labda hii topic tukionana tutaijadili kwa undani zaidi

mpwa njia pekee ya kumkomboa mwananchi ni kupitia viongozi wazalendo watakowatoa mafisadi papa CCM wanaotumia pesa za walala hoi kama njugu,wanaoshindwa kuwapa wazee above 65 hata kitu kimoja kati ya vikuu vitatu
madawa,chakula na mavazi.wakati huo huo wanatumia pesa zetu za kodi kujinifaisha wao na familia zao.
wanaoshindwa kutoa hekari kadhaa kwa ajili ya kutengengeneza wodi kubwa lakini wanagawa kama njugu mashamba kwa wawekezaji
la msingi chadema waelewe hatupambani nao tunapambana na CCM
wote tunajenga nyumba moja watoe siasa za chuki
 
Last edited by a moderator:

Mpwa sijui kama ni kweli labda muda ndio utaamua lakini hata kama ACT kilikuwa na malengo hayo mazuri lakini niamini mimi mpwa hilo haiwezekani tena kimeshaingiliwa na ccm
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…