ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 44,225
- 50,950
View: https://twitter.com/MsigwaGerson/status/1776649963608342614?t=Y2yLEpnC-hxC0Wn2ukTW_g&s=19
Mfano uwanja wa Talanta Nairobi Kenya unaojengwa Kwa Ajili ya Afcon kama wa Arusha unatarajia kugharimu Shilingi Bilioni 765 na una uwezo wa viti 60,000.
Yaani gharama yake ni mara 4 ya uwanja wa Tanzania lakini kwenye Ubora uwanja Wetu itakuwa mzuri Kupita vyote.
Nchi zingine ambazo ziliandaa AFCON zilitumia gharama kubwa sana kushinda sisi.
Hoja.: Kwa nini Watanzania Huwa qanajifanya kuwa wajuaji sana wakati hawajui? Yaani Nchi hii umbea na uzushi ni kama ndio jambo kuu la maisha,Kwa inakuwa hivyo?
My Take
Kwa renders za uwanja wa Arusha na associated infrastructures na quality naona gharama ni ndogo maana viwanja vya size hiyo hiyo na hadhi hiyo vina gharama kubwa huko kwingineko kuliko kwetu.
Angalizo msije kujenga kitu tofauti na picha mlizotuonesha.
View: https://www.instagram.com/p/C5V5FO6tABm/?igsh=ZnRreDVmNWNrcGFk