Mnaosali kanisa la Mikocheni B (Mlima wa moto) naombeni mnifahamishe hili

Katika ulimwengu huu wa leo imani ni pesa tu hakuna ukweli kabisa niliona ktk kanisa la kakobe eti viwete wanaokuja kwa mara ya kwanza kanisani wanatembea hapo hapo wakati huo kuna viwete wapo kila siku hapo kanisanu hawatembei
za kufundishwa,changanya na za kwako,dini ni imani
 
Iko hivi Mimi nasali pale anayeponya ni Yesu Kristo yeye anomba tu ila anakibali sana kwa Mungu kutokana anavyojitoa kuutafuta Uso Wa Mungu suala la mtu kupona aliye kanisani hapa unatakiwa ujue lengo la mtu kupokea uponyaji nini kiimani jibu ni ili tu azidi kumuamini kristo mf mgeni Anapopona ni rahisi kuwavuta wengi waliojua hali yake hapo mwanzo na yy imani yake kupanda zaidi ili akae na wokovu sababu hata akipona bado kufa kupo hivyo lengo ni roho yake mtu isipotee hata kama akipona

Wajinga ndo waliwao huyo mama anakibali namba ngapi toka kwa Muumba wetu??
 
Karibu kesho Ufufuo na Uzima ukafundishwe madhara ya kuota ndoto unakula vyakula au unafanya mapenzi ndotoni. Vikwazo vizito kwenye maisha yako moja ya sababu ni hizo, karibu upate ufumbuzi.
Hivi mahubiri yenu yanatoka kwa dvd au cd?
 
Iko hivi Mimi nasali pale anayeponya ni Yesu Kristo yeye anomba tu ila anakibali sana kwa Mungu kutokana anavyojitoa kuutafuta Uso Wa Mungu suala la mtu kupona aliye kanisani hapa unatakiwa ujue lengo la mtu kupokea uponyaji nini kiimani jibu ni ili tu azidi kumuamini kristo mf mgeni Anapopona ni rahisi kuwavuta wengi waliojua hali yake hapo mwanzo na yy imani yake kupanda zaidi ili akae na wokovu sababu hata akipona bado kufa kupo hivyo lengo ni roho yake mtu isipotee hata kama akipona
Uwe unatumia NUKTA na COMMA
 
Misukule, makanisa kujengwa vijijini, ni mambo yao na imani yao... si vizuri kupekenyua Imani za wengine ukiwa tayari uko kwenye negative attitude...
Hata ukipewa jibu hautanyamaza- utaanza tena kwanini, kwanini...
Ufalme wa Mungu hauji/hautauelewa kwa kuuchunguza****
 
I
Katika ulimwengu huu wa leo imani ni pesa tu hakuna ukweli kabisa niliona ktk kanisa la kakobe eti viwete wanaokuja kwa mara ya kwanza kanisani wanatembea hapo hapo wakati huo kuna viwete wapo kila siku hapo kanisanu hawatembei

Hao wa zamani imani yao haba, wangekua na imani hata ndogo kama punje ya haradali wangeweza kutembea Dar- mwanza
 
bdo cjapata jibu mpaka sasa walipo wale misukule badala yake naona story tu
 
mm kwanza kanisa kuongozwa na mwanamke tu huna napata wasiwasi maana ata biblia haikubalian nacho kwenye vitabu vya paul agano jipya
 
Khaaaa! We vipi jamani hujibu maswali unaleta story???
Ngoja nikujibu, nini maana ya msukule. Ukisoma Isaya 45:22, utaona kuwa Isaya aliona katika ulimwengu wa roho, watu wanawindwa wakaibiwa na kutekwa,aliwaona wakiwa mateka, wamefichwa kwenye magereza na kwenye mashimo lakini hakuwepo mtu yeyote wa kuwaokoa wala aliyemwambia yule aliyewateka awarudishe hao mateka.

Kitabu cha Isaya ni maono, maana yake alikuwa anayaona mambo yanayotokea katika ulimwengu wa roho (usioonekana). Kuelezea misukule ni a bit complex lakini hebu nijaribu. Shetani anaitwa BABA WA UONGO na Yesu, maana yake anaweza kufanya uongo na kila mtu akadhani ni kweli. Unaweza kumwona mtu amekufa kwa ajali ya gari, ugonjwa au kitu chochote lakini in actual sense mtu yule hajafa, unaona kiini macho tu. Wachawi wanamwiba mtu na badala yake wanaweka jini/shetani ambalo linacopy sura ya marehemu kabisa akiwa amekufa, mashuhuda wataona maiti kabisa lakini ni jini limefake sura ya Mr. X. Wanamchukua Mr. X akiwa mzima kabisa wanampa na kumwingiza kwenye ulimwengu wa kutokuonekana, au anavaliwa na shetani maalum ambalo linamfanya asionekane katika ulimwengu huu wa mwili.
Mtu huyo atakwenda kufanya kazi anazozitaka huyo mchawi, mfano, kuuza duka, kulima, n.k. Duniani mtu yule ataonekana amekufa na atazikwa lakini yupo katika ulimwengu usioonekana.

Watu hao ni wengi mno...maombi ya vita na yenye maarifa yakifanyika watu hawa wanaweza kutoka kwenye mashimo hayo, maana malaika wa Mungu wanakwenda kuwatoa kwenye vifungo hivyo.

Ndio maana moja ya mission ya Yesu ilikuwa ni kuwatangazia WAFUNGWA kufunguliwa kwao, hakumaanisha wafungwa wa SEGEREA alimaanisha wafungwa wa kiiroho.
 
Hadi hapa maswali yote mawili yaliyoulizwa hayajapata majibu yake. Pengine hii inaashiria kuna mengi nyuma ya pazia.
 
Relax!!
swali la jana lilikua hiviii, " Mkuu Step by step anahitaji msaada wa majibu
Naombeni sasa mnifahamishe maendeleo ya wale misukule je nikija kesho j2 kanisani ntawakuta?"

Nilitegemea maelezo mafupi ya maendeleo yao, na upatikanaji wake kama akifika kanisani
 
Huwezi kuwakuta kwa sababu sio misukule anymore, they are as normal as anybody else. Got it?
Mfungwa akitoka kfungoni haitwi mfungwa tena.
 
Back
Top Bottom