Mnaopinga lockdown kuna vitu mfikirie kwa mapana

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,290
Kuna watu wanapinga lockdown bila kuwaza kwa mapana na marefu wengine hili jambo wanalichukulia la kisiasa badala ya kutazama athari kwa nchi na maisha ya wanyonge.

Hapa vijana wengi wanakuja na hoja mfu kwamba tutakufa kwa njaa wakati wanajisahau wanazunguka kila kona kusaka hizo hela ambazo zinapelekea kulieneza hili gonjwa anbapo sasa yawezekana mtaa, kijiji,wilaya au mkoa utokao waweza kukumbwa na maambukizi mengi kupitia wewe kisha shughuli nyingi zitakwama wote mkawa wagonjwa mkajipiga lockdown ya ugonjwa bila kujijua na kupelekea vifo jambo ambalo ni hasara kwa nchi maana pesa wanazo kusanya kipindi hiki zikatumika ktk kuwakimbiza nyie wabishi mahospital.

Nafikir tuvumilie kidogo kuliko kuendelea kuusambaza huu ugonjwa serikali iamue sasa ktk hili hambo ##LOCKDOWN haikwepeki
Kungekuwa na mantiki ya kuacha wazi bila lockdown kama kungekuwa na upungufu wa maambukizi sasa yanazidi kupanda hapa tunafanya nini?

Hata hizo pesa zinazokusanywa sasa hivi zitaishia kwenye mafuta na kuhudumia wagonjwa ambapo mambo mengine bado yatasimama tu.

Vijana tuokoe watoto wazee ndugu na jamaa na sisi wenyewe tuache ubishi.
 
Naona wanaopinga wanasema Rwanda na Kenya wameweka lockdown lakini wangonjwa wanaongezeka.
Na kwa vile wengi wanamini katika hizi propaganda na kutokuelewa huenda ikatupelekea kwenye janga zaidi maana hawajui kuwa idadi ya testing iliyofanyika katika nchi hizo tukiifikia sisi idadi ya case ndio itajulikana pia.
Hakuna mtu yeyote duniani aliyejiandaa na covid-19, kuzuia kwa njia yoyote maambukizi ndilo lilikuwa jibu jepesi na hasa kwa nchi zenye uwezo mdogo wa kuhudumia waathirika kama sisi.
Lockdown sio tishio kwa masikini tu bali hata matajiri na ndio maana tunaona huko Michigan, Spain, SA, Uganda nk wengi hawaikubali lakini ndio njia inayoonekana bora.
 
Kuna watu wanapinga lockdown bila kuwaza kwa mapana na marefu wengine hili jambo wanalichukulia la kisiasa badala ya kutazama athari kwa nchi na maisha ya wanyonge.

Hapa vijana wengi wanakuja na hoja mfu kwamba tutakufa kwa njaa wakati wanajisahau wanazunguka kila kona kusaka hizo hela ambazo zinapelekea kulieneza hili gonjwa anbapo sasa yawezekana mtaa, kijiji,wilaya au mkoa utokao waweza kukumbwa na maambukizi mengi kupitia wewe kisha shughuli nyingi zitakwama wote mkawa wagonjwa mkajipiga lockdown ya ugonjwa bila kujijua na kupelekea vifo jambo ambalo ni hasara kwa nchi maana pesa wanazo kusanya kipindi hiki zikatumika ktk kuwakimbiza nyie wabishi mahospital.

Nafikir tuvumilie kidogo kuliko kuendelea kuusambaza huu ugonjwa serikali iamue sasa ktk hili hambo ##LOCKDOWN haikwepeki
Kungekuwa na mantiki ya kuacha wazi bila lockdown kama kungekuwa na upungufu wa maambukizi sasa yanazidi kupanda hapa tunafanya nini?

Hata hizo pesa zinazokusanywa sasa hivi zitaishia kwenye mafuta na kuhudumia wagonjwa ambapo mambo mengine bado yatasimama tu.

Vijana tuokoe watoto wazee ndugu na jamaa na sisi wenyewe tuache ubishi.
Si ukakae wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi wewe na familia yako ushajiweka lockdown au mpaka serikali ikwambie?
 
radika kaa ww na familia yako mjilinde.
sisi wengine tunapiga mishe huku tukiwa na tahadhari kama tunavyoshauriwa na wataalam wa afya.

Sent using Jamii Forums mobile app
hao wataalamu wa afya hasa mawazir kutibiwa kwao ni chaguo la kwanza ila ww sasa utawekwa kwenye mfuko wa plastik piga mishe mzee baba unafikir Usa,Italy na Spain mkuu hamna wataalamu wa afya?
 
Basi vzuri kila atakayeona umuhimu atajilock
shida hapa ni kusambaza kwa watu mtu unatoka dar unaenda mkoani ambapo hanna haya maambukizi nini kinafuata mkuu?
 
Wangeweka lock down ya mkoa hutoki ila kutafta watu waendelee
 
hili ndo jambo muhimu sana maana hapa kwetu dar tunamaambukizi ilitakiwa kuzuia watu kutoka na kuingua dar ili ugonjwa usisambae nchini itakuwa kazu ku control mkuu
 
we unaongea tu au unaandika tu?! hivi unajua kuna watu wanahitajika daily

afanye biashara asifanye,atoke home asitoke,aumwe asiumwe,afiwe asifiwe

kwa siku anatakiwa a save 50,000,hiii 50k si ya chakula wala mavazi ni hela

ya uwepo wake mjini Kodi za nyumba/frem/nk hivi umwambie huyu mtu akae ndani

hiyo 50k ataitoa wapi? unafikiri wenye nyumba wanaelewa cha lockdown au lockup?

Tarehe ya kodi ikifika wanataka chao Kama huna achia frem,achia nyumba hiyo,THINK.
 
Kuna watu wanapinga lockdown bila kuwaza kwa mapana na marefu wengine hili jambo wanalichukulia la kisiasa badala ya kutazama athari kwa nchi na maisha ya wanyonge.

Hapa vijana wengi wanakuja na hoja mfu kwamba tutakufa kwa njaa wakati wanajisahau wanazunguka kila kona kusaka hizo hela ambazo zinapelekea kulieneza hili gonjwa anbapo sasa yawezekana mtaa, kijiji,wilaya au mkoa utokao waweza kukumbwa na maambukizi mengi kupitia wewe kisha shughuli nyingi zitakwama wote mkawa wagonjwa mkajipiga lockdown ya ugonjwa bila kujijua na kupelekea vifo jambo ambalo ni hasara kwa nchi maana pesa wanazo kusanya kipindi hiki zikatumika ktk kuwakimbiza nyie wabishi mahospital.

Nafikir tuvumilie kidogo kuliko kuendelea kuusambaza huu ugonjwa serikali iamue sasa ktk hili hambo ##LOCKDOWN haikwepeki
Kungekuwa na mantiki ya kuacha wazi bila lockdown kama kungekuwa na upungufu wa maambukizi sasa yanazidi kupanda hapa tunafanya nini?

Hata hizo pesa zinazokusanywa sasa hivi zitaishia kwenye mafuta na kuhudumia wagonjwa ambapo mambo mengine bado yatasimama tu.

Vijana tuokoe watoto wazee ndugu na jamaa na sisi wenyewe tuache ubishi.
Jiweke wewe na familia yako mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom