Mnaomshabikia Rais wetu mnijibu

Mnaomshabikia Rais wetu mnijibu

Swali langu ni jepesi tu.....kakupa unafuu upi wewe au kakufanyia nini ? Imean mtu mmoja mmoja mf labda vitu vimepungu bei dukan au kapunguza kodi zisizo lazima et

Nijibu wwe kama wewe umepata faida gan acha kukurupuka kujibu kama hujaelewa swali! Tofauti na hivyo ntajua unawaza kwa kutumia makalio
MKUU UWEZI PANDA MAHINDI KWENYE MAGUGU UKATEGEMEA KUVUNA MAVUNO MAZURI,LAZIMA UYATOE MAGUGU NDO UTAVUNA MAVUNO MAZURI,NA UWEZI PANDA LEO UTEGEMEA MAVUNO LEO LEO,WEWE UNASEMA TUMEPATA FAIDA GANI,JPM ANAONDOA MAGUGU YENU YALIOKUA YANATUFANYA WATU ASA WA KIPATO CHA CHINI MAISHA KUWA MAGUMU FAIDA BAADAYE MKUU MWACHE AYAONDOE MAGUGU TUNGANE NAE PAMOJA NA WEWE,MTU MWENYEWE HATA BAJET YAKE HAIJAMALIZA NUSU MWAKA MMEANZA KUPIGA KELELE.
 
Mimi naomba wanaoshabikia utawala huu wanipe majibu alichowasaidia wao mpaka sasa ni kipi?

Je kuna kitu gan kafanya kuleta unafuu wa maisha?

Sizuii rais kubana pesa ikose mtaani but navyojua kinyume cha kubana hela basi ni kushusha bei ya bidhaa maana pesa haipo

Sasa huu utawala pesa mtaani hakuna lakin vitu vinapanda bei kuchwao


Nyie mnaompenda kawafanyia nini mpaka sasa?
Sasa wewe kama Baba yetu unalalamika hivi kwa maswali madogo kama haya, hivi sisi watoto wako tutaishi vipi?.
 
Back
Top Bottom