Mnaomshabikia Rais wetu mnijibu

Mnaomshabikia Rais wetu mnijibu

Baba yenu

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,053
Reaction score
1,418
Mimi naomba wanaoshabikia utawala huu wanipe majibu alichowasaidia wao mpaka sasa ni kipi?

Je kuna kitu gan kafanya kuleta unafuu wa maisha?

Sizuii rais kubana pesa ikose mtaani but navyojua kinyume cha kubana hela basi ni kushusha bei ya bidhaa maana pesa haipo

Sasa huu utawala pesa mtaani hakuna lakin vitu vinapanda bei kuchwao

Nyie mnaompenda kawafanyia nini mpaka sasa?
 
endelea kulalamika hapo.
Kama huna jibu ungenyamaza kimya umeulizwa kuanzia Magu amekuwa raisi ugumu wa maisha mbona haupungui ndo umezidi kuongezeka?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kama huna jibu ungenyamaza kimya umeulizwa kuanzia Magu amekuwa raisi ugumu wa maisha mbona mbona haupungui ndo umezidi kuongezeka?

Umeongezeka kwako mtegemea kuajiriwa. Pole!
 
Watakuja na kashafa kibao!!!
 
Kama huna jibu ungenyamaza kimya umeulizwa kuanzia Magu amekuwa raisi ugumu wa maisha mbona mbona haupungui ndo umezidi kuongezeka?
kuanzia aingie nakula pilau mara tatu kwa week ila mwanzo pilau mpkakwa mama ntilie
 
Mimi naomba wanaoshabikia utawala huu wanipe majibu alichowasaidia wao mpaka sasa ni kipi?

Je kuna kitu gan kafanya kuleta unafuu wa maisha?

Sizuii rais kubana pesa ikose mtaani but navyojua kinyume cha kubana hela basi ni kushusha bei ya bidhaa maana pesa haipo

Sasa huu utawala pesa mtaani hakuna lakin vitu vinapanda bei kuchwao

Nyie mnaompenda kawafanyia nini mpaka sasa?
ALICHOKIFANYA NIKUWATUMBUA WAPIGA DILI LAMA WEWE
 
Sukari imepanda bei

Petrol & diesel bei juu

Fedha imepotea

Uhuru wa habari haupo

Bunge amejimilikisha

Matangazo ya bunge live kayazuia

Vyama vya siasa kavipiga pini aongee peke yake

kila kitu ni balaaa.....hakuna nafuuu.
 
Mimi naomba wanaoshabikia utawala huu wanipe majibu alichowasaidia wao mpaka sasa ni kipi?

Je kuna kitu gan kafanya kuleta unafuu wa maisha?

Sizuii rais kubana pesa ikose mtaani but navyojua kinyume cha kubana hela basi ni kushusha bei ya bidhaa maana pesa haipo

Sasa huu utawala pesa mtaani hakuna lakin vitu vinapanda bei kuchwao

Nyie mnaompenda kawafanyia nini mpaka sasa?
ALICHOKIFANYA NIKUWATUMBUA WAPIGA DILI KAMA WEWE MANA NDOMMETUFIKISHA HAPA
 
Fanyakazi utayaona maisha katika mwanga ulio bora la si hivyo utalalamika sana. Rais anafanyakazi nzuri sana.
Swali langu ni jepesi tu.....kakupa unafuu upi wewe au kakufanyia nini ? Imean mtu mmoja mmoja mf labda vitu vimepungu bei dukan au kapunguza kodi zisizo lazima et

Nijibu wwe kama wewe umepata faida gan acha kukurupuka kujibu kama hujaelewa swali! Tofauti na hivyo ntajua unawaza kwa kutumia makalio
endelea kulalamika hapo.

ALICHOKIFANYA NIKUWATUMBUA WAPIGA DILI LAMA WEWE
 
Mimi naomba wanaoshabikia utawala huu wanipe majibu alichowasaidia wao mpaka sasa ni kipi?

Je kuna kitu gan kafanya kuleta unafuu wa maisha?

Sizuii rais kubana pesa ikose mtaani but navyojua kinyume cha kubana hela basi ni kushusha bei ya bidhaa maana pesa haipo

Sasa huu utawala pesa mtaani hakuna lakin vitu vinapanda bei kuchwao

Nyie mnaompenda kawafanyia nini mpaka sasa?
Unapotaka kufanya critical argument, lazima utoe mifano na ukilinganisha na nyakati na sehemu mbalimbali. Lakini kusema tu bila ushahidi hata layman anaweza kutamka tu!
 
muuulize Lowasa, mtei nao pia wanakubali uongozi wa awamu ya tano, wanaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom