Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...
Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......
Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'
Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...
Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......
Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...
hivi ndiyo safi tanzania sasa kama big brother house kila wiki mtu anatoka .viva Magu
Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno
Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...
Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'
je anao watu hao?
nani anaeitaji kutumbuliwa?
Ngoja waje....
Uko tayari kwa mashambulizi???
kwahiyo TFDA NA TBS wamethibitisha hayo? je wametangaza wapi kua hizo sukari zimekua expired tusinunue?Mwacheni rais afanye kazi, anafaham anachokifanya, taarifa anazozitumia kufikia maamzi ni reliable, he has many sources than you. Ulimsikia aliposema juu ya exported sugar kutoka Brazil ambayo huwa ime expire lakini inabadilishwa mifuko? Tafadhari tumwache afanye kazi....
Inaelekea ndugu huna kumbukumbu hivyo usijifnye kujua.kelee zilianzakwa wazalishaji kulalamika kuwa sukari imekosa soko kwa sababu ya sukari ya nje.Kwa jinsi Magufuli alivyojiweka tangu awe Rais
naamini kabisa mtu yeyote anaetaka kumshauri jambo ambalo
anajua kabisa Rais 'hatalipenda' atahitaji kuwa na 'ujasiri'
na 'uzalendo' na kujitolea sana kwa maslahi ya Taifa...
Lakini hiyo kazi ni lazima 'awepo mtu' wa kuifanya
kwa faida yetu sote......
Hili la sukari limethibitisha kabisa kuwa 'washauri' wakiwa waoga
na watu wa kuongea tu ya kumpendeza Rais...basi 'mambo yanaharibika kama hivi'
Sasa badala ya Rais kuzungumza namna ya kwenda mbele..sasa Rais anaagiza polisi kukamata 'wafanyabiashara wa sukari'......walioficha sukari...
Washauri wangemzuia palepale Rais kupiga marufuku uagizaji sukari
na wakamwambia wazi viwanda vyetu vinazalisha nusu tu ya mahitaji
huku kote tusingefika......
Ukiwa ni mtu ambae Rais anakuamini wakati mwingine unapaswa kuongea kitu
ambacho hakipendi lakini unajua ni kweli na ni faida kwa taifa...
Niliwahi tazama filam ya Fidel Castro...kuna kitu kilinivutia mno
Che Guevara na Raul Castro walikuwa si tu wanamshauri Fidel
lakini pia sometimes 'wamamfokea kabisa'...hadi anaelewa 'makosa' yake...
Magufuli anahitaji watu wa karibu wanaoweza kumshauri ukweli na akikosea wanamwambia wazi 'hili ni kosa umefanya.'
je anao watu hao?
Mwacheni rais afanye kazi, anafaham anachokifanya, taarifa anazozitumia kufikia maamzi ni reliable, he has many sources than you. Ulimsikia aliposema juu ya exported sugar kutoka Brazil ambayo huwa ime expire lakini inabadilishwa mifuko? Tafadhari tumwache afanye kazi....
Ukimkosoa unapewa all sorts of names. Mfumo wa "Zidumu fikra" na a "one man show" surrounded by "Yes men!" bado haujafutika.
Hakuna room ya kupinga idea zake, ukipinga utaitwa jipu au mhujumu uchumi. Lakini hoja yako haitajibiwa.
Ukiwa a decision maker lazima uwe na The "tenth" man! Kazi yake ni kuchallenge ushauri uliopewa na maamuzi uliyofanya. Hii inasaidia kujenga na kuboresha maamuzi yako. Unfortunately, hakuna huyo mtu. Kila mtu ni kuimba nyimbo za kusifia.