Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 15,573
- 19,455
Wanabodi JF!
Naomba niseme wazi hapa, bila kupoteza muda wenu mwingi.
Mojawapo ya mambo yanayotamkwa sana humu JF, ni pamoja na urushaji wa vikao vya bunge live.
Wanaotaka hivyo wanadai kwamba kutoonyeshwa live ni ukiukwaji na uminyaji wa demokrasia.
Sasa mimi nimejaribu kutafuta nchi mbalimbali hususan za jumuia ya madola,sikuona hata moja ambayo inaonyesha live vikao vyake vya bunge, tofauti na utaratibu unaotumika hapa kwetu kwa sasa.
Ila kama nyinyi mmeziona ebu tuziweke humu ndani ili tuondowe ubishi!
Karibuni....
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia channels za C-SPAN. Senator anaweza kuingia bungeni peke yake na kutoa tamko lake bila hata wabunge wengie kuwapo na tamko hilo likaingia kwenye record za bunge mradi tu president na parlimentarian wa senate wawepo.