Mnaolilia Bunge kuoneshwa moja kwa moja, hebu tajeni nchi zinazofanya hivyo

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Wanabodi JF!

Naomba niseme wazi hapa, bila kupoteza muda wenu mwingi.

Mojawapo ya mambo yanayotamkwa sana humu JF, ni pamoja na urushaji wa vikao vya bunge mubashara.

Wanaotaka hivyo wanadai kwamba kutoonyeshwa mubashara ni ukiukwaji na uminyaji wa demokrasia

Sasa mimi nimejaribu kutafuta nchi mbalimbali hususani za jumuia ya madola, sikuona hata moja ambayo inaonesha mubashara vikao vyake vya bunge, tofauti na utaratibu unaotumika hapa kwetu kwa sasa.

Ila kama ninyi mmeziona hebu tuziweke humu ndani ili tuondowe ubishi!

Karibuni....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanabodi JF!
Naomba niseme wazi hapa, bila kupoteza muda wenu mwingi.

Mojawapo ya mambo yanayotamkwa sana humu JF, ni pamoja na urushaji wa vikao vya bunge live.
Wanaotaka hivyo wanadai kwamba kutoonyeshwa live ni ukiukwaji na uminyaji wa demokrasia.

Sasa mimi nimejaribu kutafuta nchi mbalimbali hususan za jumuia ya madola,sikuona hata moja ambayo inaonyesha live vikao vyake vya bunge, tofauti na utaratibu unaotumika hapa kwetu kwa sasa.
Ila kama nyinyi mmeziona ebu tuziweke humu ndani ili tuondowe ubishi!

Karibuni....

Sent using Jamii Forums mobile app
We mkolomije angalia PMQ ya mama May.
 
Taja nchi nyingine yenye mlima Kilimanjaro, ama taja nchi nyingine inayochimba Tanzanite duniani. Kama hivyo viko Tanzania tu, unashangaa nini kama bunge live litakuwa linarushwa Tanzania tu? Unaweza ukatuambia kosa la jambo au kitu kuwa Tanzania tu? Halafu inaonekana ww ni mzee na kama ni kijana basi ni mtoto wa mganga wa Bashite.
 
Na wewe tuambie nchi yeyote au kampuni yeyote iliyowahi kununua madege 8 cash bila hata kuhitaji mjukuu wa mkopo duniani. Tuambieee. Nasema sio kila kitu kiwe na mwenzake.
Tulikuwa tunaoneshwa, leo kwa nini tunyimwe?? Kama ni matumizi mabaya ya fedha, wape wenye vituo vya TV wawatafute watu watakao wekeza humo ili tupate humo kodi pia.
 
Wanabodi JF!
Naomba niseme wazi hapa, bila kupoteza muda wenu mwingi.

Mojawapo ya mambo yanayotamkwa sana humu JF, ni pamoja na urushaji wa vikao vya bunge live.
Wanaotaka hivyo wanadai kwamba kutoonyeshwa live ni ukiukwaji na uminyaji wa demokrasia.

Sasa mimi nimejaribu kutafuta nchi mbalimbali hususan za jumuia ya madola,sikuona hata moja ambayo inaonyesha live vikao vyake vya bunge, tofauti na utaratibu unaotumika hapa kwetu kwa sasa.
Ila kama nyinyi mmeziona ebu tuziweke humu ndani ili tuondowe ubishi!

Karibuni....

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona unadai umefuatilia nchi za Commonwealth, hebu nitajie nchi za Commonwealth zinazokataza mikutano ya hadhara na maandamano ili both ways tuwe tuna'balance kama huko ndiyo reference ya kunavyotakiwa kufuata.

Kwa taarifa yako England na South Africa bunge hurushwa live tena kwenye TV za serekali,yaani pesa ya mlipa kodi ndiyo huwezesha hayo sasa hapa hata TV binafsi na kwa kutumia gharama zao wamezuiliwa.
 
Wanabodi JF!
Naomba niseme wazi hapa, bila kupoteza muda wenu mwingi.

Mojawapo ya mambo yanayotamkwa sana humu JF, ni pamoja na urushaji wa vikao vya bunge live.
Wanaotaka hivyo wanadai kwamba kutoonyeshwa live ni ukiukwaji na uminyaji wa demokrasia.

Sasa mimi nimejaribu kutafuta nchi mbalimbali hususan za jumuia ya madola,sikuona hata moja ambayo inaonyesha live vikao vyake vya bunge, tofauti na utaratibu unaotumika hapa kwetu kwa sasa.
Ila kama nyinyi mmeziona ebu tuziweke humu ndani ili tuondowe ubishi!

Karibuni....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani ni lazima tuige toka kwa wenzetu ? Ss hatuwezi azisha vya kwetu ili viigwe na wengine tuache fikra mgando za kikoloni...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kama mleta mada hata kwa hili huwezi kujitofautisha na wengine, hivi kwenye kichwa chako kuna kitu kinaitwa ubunifu kweli!?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wanabodi JF!
Naomba niseme wazi hapa, bila kupoteza muda wenu mwingi.

Mojawapo ya mambo yanayotamkwa sana humu JF, ni pamoja na urushaji wa vikao vya bunge live.
Wanaotaka hivyo wanadai kwamba kutoonyeshwa live ni ukiukwaji na uminyaji wa demokrasia.

Sasa mimi nimejaribu kutafuta nchi mbalimbali hususan za jumuia ya madola,sikuona hata moja ambayo inaonyesha live vikao vyake vya bunge, tofauti na utaratibu unaotumika hapa kwetu kwa sasa.
Ila kama nyinyi mmeziona ebu tuziweke humu ndani ili tuondowe ubishi!

Karibuni....

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kenya tu wanarusha live. Zanzibar wanarusha live.uganda live nk karibu zote ispokuwa tanganyika
 
Back
Top Bottom