Mnaokwenda kuoa mkoa wa Tanga tafakarini mara mbili

NAUNGA MKONO 100%.KUNA JAMAA YANGU ANA MKE MTANGA AISEE KWAKE ANA NDUGU ZA MKEWE KAMA KIJIJI AFU NDUGU WA MUME HAKUNA HATA MMOJA.
AFU WANAPENDA SHUGHULI HAOOOO
Hata Mimi nakubali kwa asilimia mia Kuna jirani yangu tumepakana naye na wamehamia karibuni tu.
Basi nilishangaa nyumba ina watu Kama kuna msiba au utafikiri kambi ya kipindupindu halafu usiku wanakesha na makelele saa zote.
Basi yule jamaa namuonea huruma sana kuoa mtu wa Tanga.
Halafu ni mswahili sana kufuatilia mambo ya watu yasiyomhusu.
 
Kaka yangu kaoa mrangi hapo kwake kuna shemeji zake na watoto wao hawajulikani wataondoka lini. Ndg wa mume tulishaacha kwenda pale, bro kila siku analalamika maisha ya nyumbani kwake mbaya zaidi mke hataki kujishughulisha na chochote, alishafunguliwa biashara mbili zote zimemshinda. Huyo ni mrangi na sisi ni wazigua.
Kwa mujibu wa siredi hii na nyie watanga mmepatikana mkuu
 
Kaka yangu kaoa mrangi hapo kwake kuna shemeji zake na watoto wao hawajulikani wataondoka lini. Ndg wa mume tulishaacha kwenda pale, bro kila siku analalamika maisha ya nyumbani kwake mbaya zaidi mke hataki kujishughulisha na chochote, alishafunguliwa biashara mbili zote zimemshinda. Huyo ni mrangi na sisi ni wazigua.
Kusindavihi myangu?
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚hivyo eh!

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ Sie tukisemwa unahama kabila inayofuata tu...
Lakini si unajua vile hatuna comparison... Uniqueeeee...
 
kuna tofauti kati ya UBUNIFU na ulozi


wanawake wa kitanga wamejaa ubunifu
haswa kwenye sekta nzima ya mahaba na mapenzi

iko hivi mtanga anakuogesha,anakutawaza anakubeba mgongoni..full anakurembulia,,chumba full uturi na huko sita kwa sita hubaniwi..

hadi anakulisha.!

hapo kwa nini MTU asisahau huko kwao alipotoka.!
Kwahiyo wewe mwanaume mzima unataka kufanyiwa yote hayo??
 
Still looking ila nilikaribia kuoa Tanga mtoto tulipendana yule! Halafu aliumbwa akaumbika. Dada yake pale kitaa alikuwa ananisifia sana lakini alipojua namdate mdogo wake acha anichukie. Penzi letu pia lilikaribia kuvunja ndoa ya dada yake kwani shemeji yake alikuwa haungi mkono mkewe kuingilia penzi letu na kunichukia kisa tu kumdate mdogo wake wakati kabla alikuwa akinimwagia misifa kem kem. Mrembo anasubiri nimuoe lakini ukishatupa jongoo na mti wake inakuwa ngumu sana kubadili mawazo. Tumebaki marafiki tu.

Bak najua umeoa Tanga
 
Back
Top Bottom