Mnaojua mnaweza kunielekeza hivi tunaenda wapi kuhusiana na hizi biashara

mwanansao

JF-Expert Member
Jul 30, 2015
205
218
Wapendwa wana jf kwanza nawasalimu,na baada ya salamu kunakitu sijakielewa kabisa,kuhusu mwendelezo wa hizi biashara,hapa Tabora naona milango mingi ya biashara imefungwa,meza za sokoni nyingi zimefungwa biashara za machinga sasa nikama zimeanza kutoweka nafikiri tunako elekea siko hivi kuna nini?
 
Itakua wana sherehekea kukua kwa kasi UCHUMI wa nchi.

Ya nini kuhangaika na kufungua maduka au kutembeza bidhaa mitaani siku nzima, wakati ADMINI kule magogoni kaishasema UCHUMI unakua kwa KASI na watanzania tutembee VIFUA MBEREEEE!!!!.
 
Wapendwa wana jf kwanza nawasalimu,na baada ya salamu kunakitu sijakielewa kabisa,kuhusu mwendelezo wa hizi biashara,hapa Tabora naona milango mingi ya biashara imefungwa,meza za sokoni nyingi zimefungwa biashara za machinga sasa nikama zimeanza kutoweka nafikiri tunako elekea siko hivi kuna nini?
....huenda wamefunga sababu ya sikukuu leo
 
Mmh hebu nitajie fremu za wapi zipo tupu huku tabora, maana nilikuwa natafuta kweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom