Mnaojua masoko ya mbao kwa jumla

Mnaojua masoko ya mbao kwa jumla

Tangazo lako tu lilivyokaa ni sababu tosha ya kutouza.

Tangazo halisemi mbao ni saizi gani? Unauza bei gani? Wewe ni mfanya biashara wa mbao au umezipata wapi na vitu maelezo mengine ya msingi na bado unashangaa kwa nini huuzi.

Hili ni tatizo la wabongo wengi wanauza vitu kama vile wamelazimishwa na wanataka wateja ndio waanze kuwabembeleza ili wapewe taarifa za kutosha kuhusu bidhaa huku muuzaji anazitoa kama vile anajitolea.
 
Nimeogopa kuliweka namna hiyo kwa sababu sijui utaratibu wa humu wa kutangaza biashara...ndio maana nimeongea generally

Na 2x10x8/9
2×8×8/9
2×6×8/9 Mninga wa Liwale mkuu
 
Attachments

  • IMG_20250222_182118.jpg
    IMG_20250222_182118.jpg
    930.5 KB · Views: 24
  • IMG_20250222_182124.jpg
    IMG_20250222_182124.jpg
    1 MB · Views: 17
  • IMG_20250222_182130.jpg
    IMG_20250222_182130.jpg
    862.6 KB · Views: 20
  • IMG_20250222_182102.jpg
    IMG_20250222_182102.jpg
    996.1 KB · Views: 17
  • IMG_20250222_182036.jpg
    IMG_20250222_182036.jpg
    1 MB · Views: 23
  • IMG_20250222_182124.jpg
    IMG_20250222_182124.jpg
    1 MB · Views: 23
Back
Top Bottom