Mnaojiita wadada wa Mujini...

Mnaojiita wadada wa Mujini...

Mkuu kwani ww unakaa maeneo gani, nataka tujenge urafiki, ni PM maelekezo ukiweka hapa jukwaani watu watakusumbua!!

ha ha ha!!! E bwana ushapata buku mbili ya kula mzigo.??
usipende vya bwerere mkuu.. It'll cost you.
 
Ehee fulsa hiyo Kunta Kinte naye kaja kivyake na mtongozo wake mtajaa tu! Yani kwajinsi anavyoongea katendwa si bure mjini hapa warembo kuolewa wanakwambia kuolewa mzigo!
 
Last edited by a moderator:
Hawa warembo wa mujini wanajua kushika. Me wamenishika pabaya siwezi kutoka kwao.
 
Kiukweli wanawake wangejua hili wangebadilika!hlf wangejua kuwa vivazi vyao vya kubana vinafanya tuwatamani tu unaaproch akiingia kingi unakula mzgo unatambaa
 
Baelezee! Habaelewi unaweza jaaliwa yoote na ya ziada. Shape, sura, akili, kauli (kasoro miguu Tu, day! Ningeipata kama ile ya snowhite!)
'Dada wa mjini wangu' ana sifa zote za ndani na nje....gudi morningi
 
Last edited by a moderator:
hahahahaa.,watu mna maneno. Najaribu waza sura ya binti 'ati kama kapiga chafya isiyotarajiwa'.
 
Kuna kadada huku uswazi kwetu, jamani ni kazuriiii..... Kanafurahisha macho, kakitembea, kakicheka, kakiongea. Hakyanani hapa ndo teasema "God is Great".

Njoo sasa uone kanavyowapanga, yaani kanagongwa... kanagongwa na wavuta bangi, waajiriwa, jobless...Kwa elfu mbili tu unaweza chojoa na kumega...

huyo dada sio yeye ni roho ya ushetani ndani yake inayo sababisha yote hayo; akimtafuta BWANA YESU yote yatabaki kuwa shuhuda na ukitaka kulifahamu hili yaone maisha ya mwanaume aliye tembea na huyu dada kabla na baada ya kutembea naye ikibidi muulize ndoto anazoota, hela kama inakaa kama ilivyo awali, na kikubwa ni tabia ya kupenda kufanya ngono na kila anayepita mbeleyake yaani anashindwa tena kustahimili au kuwa na maamuzi...
 
Back
Top Bottom