Mnaojiita wadada wa Mujini...

Mnaojiita wadada wa Mujini...

Who told you Harusi is everything??

Unajidai kuwa unaoa huyo uliyesema alafu unapiga mechi za nje,U ain't better off!!

Ans it's so sad for us women ndo tunakuwa victims kwa actions zenu nyie wanaume!!
Muache kuwa wabinafsi,..
 
come on badiebey! usiseme kwamba unajitega, sio vizuri!

mi mwenyewe niko siiiiiiiiiiiiiingle! vp sasa? tujipange?

haya basi sijitegi tena..inshallah waqt ukifika ntajaliwa...
 
Ha ha ha, njoo nkugawie yangu. Sio benzi, lakini sio. Alteeza pia.

Anaongelea wadada wa mujini au mashangingi ya mujini?

Baelezee! Habaelewi unaweza jaaliwa yoote na ya ziada. Shape, sura, akili, kauli (kasoro miguu Tu, day! Ningeipata kama ile ya snowhite!)
 
Last edited by a moderator:
You have a point lakini mipasho imezidi. Vile vile usigeneralize kwani wapo wanawake wengi tu wazuri wenye tabia nzuri, wameolewa na wana tabia nzuri na sifa za kuitwa wake!
 
Back
Top Bottom