Mnaoishi mjini, hivi Gwajima yupo?

Ukitaka kujua alipo muulize mkuu wake wa mkoa maana yule jamaa siunajua anatuhuma inawezekana alipo m/kiti wa kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa anajua
 
Yule ni Lecturer wa vyuo vingi Canada, china na Finland ibada yake ya mwisho aliaga kuwa atakuwa uko kwa Week kumi
 
Acha uongo wewe! Gwajima yuko Japan anatoa huduma ya kiroho huko na shughuli zinaonyeshwa online mitandaoni.
Kwa taarifa yako akitoa mhadhara wa SAA moja mpaka mawili analipwa kati ya dola laki moja mpaka mbili, halafu akiwa na Pesa mnamsingizia madawa.

Kumbe na Wewe ' Ujanja ' wote huo ' unaabudu ' Kwake? Yaani ' Mzungu / Mjapan ' amlipe ' Mahelikopta ' dola Laki Moja mpaka Mbili kwa Saa? Tafuta wa ' Kuwadanganya ' ila siyo Mimi tafadhali.
 
Habari wanajamvi.
Mchungaji Gwajima alikuwa ana make headlines katika vyombo vya habari hapa nchi kama miezi kadhaa hivi huko nyuma. Cha kushangaza sasa hivi amepotea. Je amesafiri au anamatatizo ya kiafya? Miliopo huku mjini ambao wengi mliacha makanisa yenu makaenda kwa Gwajima na baadhi wa walibadili dini kwa muda na kuamia kwa Gwajima, mtusaidie kujua huyu kiongozi wetu mpendwa kimemsibu nini? Hatupati neno la Bwana siku hizi katka vyombo vya habari na sisi tupo mikoani hatuna uwezo wa kuhudhuria kanisani kwake. Na nyie waumini wake inakuwaje mnamtenga tena mchungaji wetu, endeleeni kwenda tu kanisani na mturushie mahubiri ya kila jumapili.
Kwani hukusikia kama alisafiri kwenye Ujerumani? Yule ni Doctor of Theology. Ana mapindi vyuo vikuu vya mashariki ya mbali
 
Niliona moja ya clip yake akiwa Japan akihubiri kwa lugha ya kiingereza na mkalimani akiwa pembeni yake, nilibaki najiuliza swali hili, " hivi ni kwanini nabii huwa hakubaliki kwao? "
 
Back
Top Bottom