Mnaoishi mjini, hivi Gwajima yupo?

Uta Uta

JF-Expert Member
Feb 2, 2016
3,687
8,600
Habari wanajamvi.

Mchungaji Gwajima alikuwa ana make headlines katika vyombo vya habari hapa nchi kama miezi kadhaa hivi huko nyuma. Cha kushangaza sasa hivi amepotea.

Je amesafiri au ana matatizo ya kiafya? Miliopo huku mjini ambao wengi mliacha makanisa yenu mkaenda kwa Gwajima na baadhi kubadili dini kwa muda na kuhamia kwa Gwajima naomba mtusaidie kujua huyu kiongozi wetu mpendwa kimemsibu nini.

Hatupati neno la Bwana siku hizi katka vyombo vya habari na sisi tupo mikoani hatuna uwezo wa kuhudhuria kanisani kwake. Na nyie waumini wake inakuwaje mnamtenga tena mchungaji wetu, endeleeni kwenda tu kanisani na mturushie mahubiri ya kila Jumapili.
 
Habari wanajamvi.
Mchungaji Gwajima alikuwa ana make headlines katika vyombo vya habari hapa nchi kama miezi kadhaa hivi huko nyuma. Cha kushangaza sasa hivi amepotea. Je amesafiri au anamatatizo ya kiafya? Miliopo huku mjini ambao wengi mliacha makanisa yenu makaenda kwa Gwajima na baadhi wa walibadili dini kwa muda na kuamia kwa Gwajima, mtusaidie kujua huyu kiongozi wetu mpendwa kimemsibu nini? Hatupati neno la Bwana siku hizi katka vyombo vya habari na sisi tupo mikoani hatuna uwezo wa kuhudhuria kanisani kwake. Na nyie waumini wake inakuwaje mnamtenga tena mchungaji wetu, endeleeni kwenda tu kanisani na mturushie mahubiri ya kila jumapili.
Au ameenda kwao mwanza?Au Bashite Kamfukuza mkoani kwake?Ivumayo sana mwisho hupasuka!
 
Habari wanajamvi.
Mchungaji Gwajima alikuwa ana make headlines katika vyombo vya habari hapa nchi kama miezi kadhaa hivi huko nyuma. Cha kushangaza sasa hivi amepotea. Je amesafiri au anamatatizo ya kiafya? Miliopo huku mjini ambao wengi mliacha makanisa yenu makaenda kwa Gwajima na baadhi wa walibadili dini kwa muda na kuamia kwa Gwajima, mtusaidie kujua huyu kiongozi wetu mpendwa kimemsibu nini? Hatupati neno la Bwana siku hizi katka vyombo vya habari na sisi tupo mikoani hatuna uwezo wa kuhudhuria kanisani kwake. Na nyie waumini wake inakuwaje mnamtenga tena mchungaji wetu, endeleeni kwenda tu kanisani na mturushie mahubiri ya kila jumapili.

Kapigwa ' Pini ' moja Kali sana na ya ' Kimafia '.
 
Hayupo mjini . Yupo nchi za watu anaendelea kutoa huduma za kiroho..
Usisahau kuanzisha na uzip mwingine ukimuulizia Harmorapa..
Sasa huo udhalilishaji kwa mchungaji, Harmorapa mtafuta kiki utamfananishaje na mchungaji?
 
Habari wanajamvi.
Mchungaji Gwajima alikuwa ana make headlines katika vyombo vya habari hapa nchi kama miezi kadhaa hivi huko nyuma. Cha kushangaza sasa hivi amepotea. Je amesafiri au anamatatizo ya kiafya? Miliopo huku mjini ambao wengi mliacha makanisa yenu makaenda kwa Gwajima na baadhi wa walibadili dini kwa muda na kuamia kwa Gwajima, mtusaidie kujua huyu kiongozi wetu mpendwa kimemsibu nini? Hatupati neno la Bwana siku hizi katka vyombo vya habari na sisi tupo mikoani hatuna uwezo wa kuhudhuria kanisani kwake. Na nyie waumini wake inakuwaje mnamtenga tena mchungaji wetu, endeleeni kwenda tu kanisani na mturushie mahubiri ya kila jumapili.
gwajima yko Japan mbna anatoa huduma
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Bongo bahati mbaya, Gwa J anawatafutia vijana wake maisha mazuri nchi za watu,wewe endelea kumuulizia mtu ambae huwezi kumpata Nde wala sikio
 
Bishop Gwajima yupo ng'ambo anauza vitabu vyake vya Kiroho ktk lugha ya Kijapani pia kuhubiri na vilevile kutafuta namna ya kushirikiana na serikali ya Ujerumani na World Bank kuanzisha mtambo mkubwa / kiwanda kikubwa vya kuzalisha umeme wa solar, gesi na upepo (wind turbine) Tanzania na mbolea. Kwa habari zaidi tembelea akaunti ya habari zake Youtube :

Source: Bishop Josephat Gwajima RudishaTV
 
Back
Top Bottom