Heavy User
JF-Expert Member
- Feb 2, 2020
- 954
- 1,732
Naanza mimi.
Sawa Sheikh, tunasubiria maujuziNgoja niswalishe kwanza hapa kisha nitamuibukia huyo dalmaxView attachment 1754687
Tafuta uzi humu upo huyo dalmax anapigwa ndani ya sekunde chache tu, kuna mtu anajiita BIN KULIJUAWeka sekunde 10 za dalmax aweze kufikiria kete ngumu hutoboi asee
Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
Kumbe we unacheza aina hiyo! Cheza kitu cha Russian uone linavyokudofya..😂Naanza mimi.
Huyu Bin kulifehem wa MR HOTEL pale Iringa? Mzee wa nakuvabua vaabuTafuta uzi humu upo huyo dalmax anapigwa ndani ya sekunde chache tu, kuna mtu anajiita BIN KULIJUA
Sijui mi nimemuona humu humu mtandaoniHuyu Bin kulifehem wa MR HOTEL pale Iringa? Mzee wa nakuvabua vaabu
La Russia gumu SanaKumbe we unacheza aina hiyo! Cheza kitu cha Russian uone linavyokudofya..
Kitu ya kula mbele na nyuma Yani inaitwa ukikaa nchale ukisimama nchale..!
Hilo ndo nalocheza ukitoa droo tu unakunywa na soda..🤣La Russia gumu Sana
Huyo kiumbe ni kiboko na alifungua iyo id kwa ajili ya dalmax tu mamaeeeeeeTafuta uzi humu upo huyo dalmax anapigwa ndani ya sekunde chache tu, kuna mtu anajiita BIN KULIJUA
Tuwekee screen recorder tuone
Mimi mwenyewe hivyo hivyo yaani ushindi wangu mimi ni drooHilo ndo nalocheza ukitoa droo tu unakunywa na soda..
Kulifunga nafikiri sijawahi zidi Mara tano!Mimi mwenyewe hivyo hivyo yaani ushindi wangu mimi ni droo