Mnaofunga drafti la Dalmax Checkers, wekeni screen recorder wasiojua wajifunze

Ngoja niswalishe kwanza hapa kisha nitamuibukia huyo dalmax
IMG_20210417_183645.jpg
 
Tafuta uzi humu upo huyo dalmax anapigwa ndani ya sekunde chache tu, kuna mtu anajiita BIN KULIJUA
Huyo kiumbe ni kiboko na alifungua iyo id kwa ajili ya dalmax tu mamaeeeeee

Alipomgaragaza vibaya na id akaitupa huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom