Mnaodhani kuwa ‘ Upuuzi ‘ mwingi wa ‘ Kimamlaka ‘ huwa upo Tanzania tu pekee mnakosea sana!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,550
108,882
Bodi ya Mikopo nchini Kenya imesema itachapisha majina na picha za watu 85,000 wanaodaiwa Sh50 bilioni za nchi hiyo tangu mwaka 1975.

Chanzo: MWANANCHI
 
Back
Top Bottom