Mnao somesha wachumba mkowapi

Unaogopa kusomesha au hauna hela? Kwani ada sh ngapi? Kusomesha ni sawa na kubet, kuna kupata na kukosa! Tafuta hela acha kulialia kibwege
 
Dem mzee wake kagoma msomesha kisa me, dem bado hatak kuniacha nkamwonea huruma ikabd nifanye hvo

Mpeleke stage fulani hivi ili kuweka bondi ya nguvu, labda mtolee mpaka mahari na uchumba pia ili kwao iwe unajulikana officially!

Haisaidii sana ila anaweza kuwa na woga kukuendea kinyume sababu ya familia na ndugu zake wanakujua japo hiyo pia siyo guarantee lakini inasaidia kidogo!!
 

Thanks kwa ushaur mkuu ila me I don't care, nmeshasahau kama nmelipa ada
 
Pesa ya ada nlompa ni 900k tu ilobak nafanyia busn zangu coz nilikurupuka kununua ist wkt sijaweka mambo sawa ulimbukeni tu. Busn ikienda sawa gar ntanunua soon
Sawa mkuu hongera kwa kusomesha mchumba
 
Iiiii yani unajiongezea na hasara nyingine zisizo za lazima hahaa huipend hela yako,we fanya muoe au mpe mimba akizaa ndio msomeshe,
Sikufichi nilikua nasoma chuo tulikua tunawala wake za watu wanaosomeshwa vibay mnoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…